Haya ndio maneno mazito ya QADAFFI

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,187
1,834
HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI

QADAFFI ANAANZA HIVI:
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema...
Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule.

Na kila walipohisi njaa niliwapa chakula. Niliifanya Benghazi kutoka jangwa kuwa ardhi nzuri ya kilimo. Nilisimama imara dhidi ya Ronald Regan (Rais wa zamani wa Marekani), alipomuua binti yangu niliyemuasili.

Alikua anajaribu kuniua mimi lakini akamuua yule binti yatima masikini. Niliwasaidia kaka na dada zangu waafrika fedha kupitia AU.

Nilifanya kila nililoweza kuwafanya watu wangu waelewe maana halisi ya demokrasia; ambapo watu wa tabaka la chini niliwapa madaraka.

Lakini hawakuridhika. Hata aliyekuwa na nyumba ya vyumba kumi, nguo mpya, na fanicha nzuri, hakuridhika. Alihitaji zaidi.
Kwa jinsi walivyokuwa wabinafsi walihitaji zaidi. Hivyo wakawaambia Marekani kuwa wanataka "demokrasia" na "uhuru". Hawakujua kuwa "demokrasia"

waliyoitaka ilikua ni mfumo wa unyonyaji ambapo mbwa mwenye nguvu zaidi huwala mbwa wadogo. Walikua hawasikii wala hawaoni.

Walitaka "demokrasia". Wakasahau kuwa hata Marekani hakukuwa na huduma za afya za bure, dawa bure, elimu bure na chakula cha bure. (Huduma hizi za bure zilipatikana Libya tu).

Nchini Marekani mtu masikini/fukara hana cha bure. Labda awe ombaomba au avuje jasho kuhemea.

Haikujalisha nilifanya kwa kiasi gani bado hawakuridhika. Lakini wapo waliojua mimi ni mtoto wa Gamal Abdel Nasser, mwarabu pekee halisi na kiongozi wa kiislamu tuliyewahi kuwa nae tangu enzi za Salah-al-Deen.

Wakati Nasser anapigania mfereji wa Suez kwa watu wake nami nilikua naipigania Libya kwa watu wangu. Nilikua najaribu kufuata nyayo zake ili kuwaweka watu wangu huru kutoka kwenye makucha ya wakoloni wanaotuibia.

Lakini kwa sasa niko mateka katikati ya majeshi makubwa ya dunia katika historia. Mwanangu mpendwa mwenye asili ya Afrika, Obama anataka kuniua. Ili achukue uhuru wetu, achukue haki yetu ya huduma za bure za afya, huduma za bure za elimu, na chakula chetu; na kuleta mfumo mpya wa kimarekani wa kuiba uitwao "Ubapeari" Maana yake.

Maana yake ni kuwa "washirika" wanatawala mataifa, wanatawala dunia, na watu wanaishia kuteseka. Kwa hiyo hakuna mbadala kwangu. Lazima niwe na msimamo. Na kama Mungu atapenda nitakufa kwa mapenzi yake

Mapenzi yake yaliyofanya nchi yetu kuwa na ardhi yenye rutuba, chakula bora, na huduma bora za afya. Mapenzi ya Allah yaliyowezesha tukawasaidia kaka na dada zetu waafrika na waarabu waliokuwa na shida. Sipendi kufa; lakini kama nitakufa ili kuiokoa ardhi hii, kuokoa watu wangu, na wengine ambao ni kama wanangu; acha nife.!

Acha sauti hii iwe agano langu kwa dunia kuwa nilisimama kupinga uvamizi wa NATO. Nilisimama kishujaa kupinga usaliti wa nchi za magharibi na nia mbaya za kikoloni. Na hapa nimesimama na ndugu zangu waafrika, kaka na dada zangu waislamu kama ngao yangu ya matumaini.

Watu wa magharibi wameniita "kichaa", "mwendawazimu" lakini wanajua ukweli kuwa mimi si kichaa wala mwendawazimu; ila waache waendelee kudanganya. Wanajua hii ardhi ni huru na haipo kwenye himaya ya kikoloni.

Huu ndio msimamo wangu na dira yangu na imekuwa wazi kwa watu wangu.
Nitapambana hadi pumzi yangu ya mwisho ili watu wangu wawe huru. Mwenyezi Mungu atusaidie tubaki waaminifu na tuwe huru.
-- Mu'uammar Qaddafi.

NB: Hizo ni Nukuu zake sio Mimi.
Sikutapanya rasilimali za nchi yangu kipumbavu. Na kama alivyokua Salah-al-Deen, kiongozi wetu katika uislamu, nilichukua kidogo sana kwa ajili yangu, na sehemu kubwa niliwapa wananchi.
 
Gadaffi hakuwapa Walibya kila kitu,

Aliwanyima uhuru na demokrasia.
 
Tatizo lake kuu ni udini! Udini ndo ulifanya Gadaffi aungane na Idd Amini dhidi ya Tanzania! Alafu huyo wanayemuita mungu wao hakuwahi umba chochote hata sisimizi! Anajisifu kuwa maendeleo ya Libya kayafanya mwenyewe na kumtukuza huyo anayemuita mungu ambaye siye! Haya ya Gadaffi ndo yalimkuta Nebuchadnezzar akaondolewa madarakani mpaka alipotambua na kumpa utukufu Mungu ambaye ni Mungu
 
Kwani Libya asilimia kubwa ya watu wake ni dini gani yaani ni sawa umwambie kiongozi wa Italy ni mdini wakati raia wake wengi ni wakristo.
 
Gadaffi hakuwapa Walibya kila kitu,

Aliwanyima uhuru na demokrasia.
UHURU NA DEMOKRASIA.?
Kuna uhuru na demokrasia nzuri,kama maisha bora,afya bora,mahitaji bora n.k?
Sasa huo uhuru na demokrasia walivyovipata vinawasaidia nini sasa?
 
Tatizo lake kuu ni udini! Udini ndo ulifanya Gadaffi aungane na Idd Amini dhidi ya Tanzania! Alafu huyo wanayemuita mungu wao hakuwahi umba chochote hata sisimizi! Anajisifu kuwa maendeleo ya Libya kayafanya mwenyewe na kumtukuza huyo anayemuita mungu ambaye siye! Haya ya Gadaffi ndo yalimkuta Nebuchadnezzar akaondolewa madarakani mpaka alipotambua na kumpa utukufu Mungu ambaye ni Mungu
Wewe umeumba nini?
 
Wanamapinduzi wote wa Africa ni washenzi tu.Walikuwa na uroho nanuchu wa madaraka,makatil8 wenye roho mbaya.Afadhalibtungendelea kutawaliwa na wazungu.Hamna tofauti yoyote.
Gadafi alikiwa mshenzi sana,ameuwa watu wengi sana Libya waliokuwa wanamkosoa.Ameua sana pia viongozi wa dini kisa,walikiwa wanatofautiana nae kwenye mambo ya dini.
 
Ndg umeandika ujinga wa dictator husika na umelipnesha hilo. Akitamka wazi alikuwa anawapa walibya shule na hospitali swali kwako

LIBYA ,ilikuwa nchi ya gadafi au ya walibya ,hivyo vitu alivyokuwa anawapa alitoa wapi

Kimsingi ,pamoja na hayo yote ,hakina kitu kibaya kibinya uhuru wa watu

Hivyo kilichomuondoa gadafi ni haya mabo matatu chini hapa

LAW(sheria),reasoning(uhojiji au kihoji) na democrasia

Na ,ndo kinachoenda kuisambaratisha ccm ya tanzania ,endapo tu kizazi hiki kitajikita kwenye hayo mambo muhimu matatu hapo juu
 
UHURU NA DEMOKRASIA.?
Kuna uhuru na demokrasia nzuri,kama maisha bora,afya bora,mahitaji bora n.k?
Sasa huo uhuru na demokrasia walivyovipata vinawasaidia nini sasa?
Maisha bora ni mjumuiko wa afya bora, elimu bora, miondombinu bora n.k pamoja na uhuru wa kujiamulia namna ya kujitawala kidemokrasia na utawala wa sheria.

Kama huna hayo mambo bado hujapata maisha bora.

Pia Libya hawakupata demokrasia na uhuru baada ya Gaddafi kuondoka kwa sababu mara nyingi madikteta yakiondokoa au kuondolewa huacha vumbi kubwa la vurugu na ombwe la kiuongozi. Imetokea hivyo Libya, Misri, DRC, na kwingine kwingi.
 
Hakuna nchi duniani yenye democrasia ina maendeleo ila zinazoongozwa kwa familia moja ndio zimepiga hatua democracy ni scam.
Uganda, Equatorial Guinea, Lesotho, Cameron, Gabon, Chad na Togo zimekuwa zikiongozwa na familia moja.

Africa Kusini, Botswana, Mauritius na Seychelles hazijaongozwa na familia moja.
 
Back
Top Bottom