Haya ndio malipo ya kuingizwa ikullu na mafisadi!!na bado

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Pengine watu wanajiuliza kwa nini rais kikwete anakaa kimya kuhusu umeemee kuhusu mafuta
nasema bado atakaa sana kuna baadhi ya watanzania walishailaani hii nchi kwa kumsingizia
mungu kikwete ni chaguo la bwana mungu..dhambi hii ndio inayoitafuna taifa mpaka wachungaji
mashehe watakapokaa nakuomba mungu kwa toba yakweli si hivyo tu

kinachotuumiza ni rais wetu pale ikulu kuingia na pesa za mafisadi..aliesikiliza leo bunge na una akili
zaako timamu utajua kuelekea ikulu na fedha za mafisadi ndizo chanzo cha matatizo ya umeme
mafuta ..mbunge mmoja aliinuka na kusema hili la waagizaji wa mafuta engen nani asiejua ni kundi

la baadhi ya mafisadi ambao serikali imeamua kuwageuka wacha hilo kun mtoto wa kiongozi mmoja
mkubwa anamiliki zaidi ya bituo kumi vya mafuta unataraajia nini watanzania tuamke alichokosea
nikuhitimisha tuamkaje tuvue nguo tutembee bararani ama

nasema laiti ikulu isingehuthudu mafisadi leo hii tanzania ni aluha walllahi nenda nje angaliwa wazungu
wanavyoipamba tanzania na kuiita eden ya afrika madini ,wizi,ufisadi,utapeli kila kitu kiko tanzania...
Mbunge mmoja akasema hakika hili la mafuta ni revenge ya mafisadi na saasa wamaamua kuutuumiza

mi nahisi ifike wakati rais kikwete awashukuru tu hao mafisadi kwa kumsaidia kuingia ikulu na ambae ajalipa
hela zake mpaka sasa basi ampe kiinua mgongo chenye hekima na ustaarabu na yeye akumbuke alionggoza
nchi ya tanzania kupitia mgongo wa rais..hivi sas amh rais ni ngumu sana kutatua matatizo ya watanzania
maana yaliokuwamo kichwani nizaidi ya watanzania najua unawaza marekani bangladesh uk bahrain
najua kenya uganda somalia azipo kwenye listyako na natumaini unafikiria nchi gan ujakanyaga najiuliza kila
mara rais anatumiaga passport anaposafiri na kama ndio mpaka sasa kikwete ana passport ngapi???
 
safari zake zina tija kwa wabongo. zimezaa barabara, shule, investors, viwanda, vyuo, utalii ,mikopo,misaada na kusamehewa madeni na wadeni wetu. pia alishasema mvua haikunyesha ya kutosha mwaka huu kujaza mabwawa. hiyo ni beyond his ability natural disaster.inabidi tuwatafute wale WATHAILAND wa Lowasa wakatufanyie Artificial Rainfall kule Mtera na Kidatu Mabwawa yajae tupate maji ya kusukuma UMEME wa TANZAGIZA.
 
Back
Top Bottom