Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

Peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)

Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe

Adam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa

John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba

Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa

Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe

Augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu

Ezekiel maige--msalala--kujipendekeza

Gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake

George mkuchika--newala--roho mbaya

Hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa

John mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii

Jonh chiligati-manyoni-roho mbaya na uchawi
 
hapo peter serukamba unamwongezea ugojwa wa moyo,halima mdee alishamwambia asahau kurudi bungeni
 
hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)
Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoeAdam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa
John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba
Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa
Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe
augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu
ezekiel maige--msalala--kujipendekeza
gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake
george mkuchika--newala--roho mbaya
hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa
john mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii
jonh chiligati-manyoni-roho mbaya na uchawi[/QUOTE]
Mkuu wewe ni kiboko, hiyo ya chiligati ndiyo imeniacha hoi, sina mbavu
 
Jamani kama vile kwenye list simuoni Mguu wa Chemba bingwa wa kubanjua wa wenzake.....huyu wanaume wenzake watamshusha shipa kwa kula vya wenzake na ndio mweisho wake
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi
 
hili jamaa ni zigo kwa taifa hili sijuagi huwa anateteaga nini
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi
anzisha yako. Nyie ndio mnaopata hadi udokta kwa maina ya kununua na kuigilizia
 
Back
Top Bottom