Hawa watu ni hatari kuliko hata magaidi wote duniani

Mkuu umeongea Jambo LA maana sana....lakini utasikia watu wanasema Mbowe mrudishe Ben,kwani hao wote waliovamiwa Mbowe alihusika,??? Mbona kuna watu hadi walitajwa majina na nyeo vyao na mahali wanapofanya kazi kuwa ni kwa mjomba...lakini hawakuchuliwa hatua....
Umenifumbua macho mkuu.
Yaani ni bora mnyama apimwe DNA..lakini sio maiti iliyookotwa wakati watu kibao wanalalika ndugu zao wamepotea....
 
Siku hizi tanzania yameanza matendo ya kupotezana mjini hasa kwa mashabiki wa siasa za upinzani wa serikali.
 
Kunakipindi Inabidi tuamke na tujidhatiti kuwa hatuitaki ccm kkwa haki au kwa shali.
Hiwesekani tunawaangusha kwenye sanduku la hiayali lakini wao wanajiandaa kwa shali.
 
Nimeshindwa kuelewa niweke neno gani ambalo linaweza kushabihiana na neno gaidi,maana Tanzania hatuna ugaidi.ila nataka nikwambie tu kwamba watu wanaoteka au kutesa watu hapa Tanzania ni hatari kuliko hata makundi yote ya kigaidi hapa duniani.kwa sababu watu walimvamia Dr,Mvungi wakamshambulia hadi mzee akafa ,hadi leo haijajulikana ni watu gani na nini sababu ya kufanya hayo
Mwandishi wa habari na mbunge wa ubungo Saed Kubenea alishawahi kuvamiwa ofisini kwake na kumwagiwa tindikali usoni,hadi leo haijulikani waliofanya hayo wala sababu hazijulikani
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kubanda alivamiwa na watu wasiojulikana akapigwa akaumizwa,hadi leo haijulikani ni nani walifanya hayo na kwa sababu zipi
Aliyekuwa mwenyekiti wa madaktari alitekwa na kupelekwa msitu wa mabwepande,alipigwa nusu kufa hadi leo haijulikani nani alifanya hayo na kwa sababu zipi?
Bomu lilirushwa kwenye mkutano wa Chadema hadi leo haijulikani aliyefanya hayo wala sababu zake
Na safari hii kapotea Ben saanane haijulikani alipo wala sababu ya kupotea,kwa mtirirko huo ni wazi kwamba hao wanaofanya matukio hayo ni watu hatari sana kuliko magaidi wote duniani.harafu wanajua kutunza siri sana,maana magaidi wakifanya tukio huwa wanasema,ila hawa hawasemi.na hawakamatwi.
Kiongozi wao ana wadhifa mkubwa sirikarini
 
Hawa watakamatwa.

Alafu unaambiwa nchi ya amani na upendo .........

Juzi si umesikia walimteka wakili msomi mapanga ya kichwa kakatwa katwa.............

Hawa watu ni hatari sana bora hata anayejilipua ukafa naye kuliko kuachwa kilema......
Hawa watu ni nuksi,ila najiuliza hivi haya matukio angefanyiwa mtu wa serikali wasingejulikana kweli?
 
Hivi ile kesi ya Saed Kubenea ya kuwasingizia masheikh wa Zanzibar wamelawitiwa imeishia wapi?
Walizika watu mtoni,maiti zilipoibuk Zikazikwa tena ardhini fasta fasta!Haya,zikiibuka toka ardhini tena tunazitia moto!
 
Nimeshindwa kuelewa niweke neno gani ambalo linaweza kushabihiana na neno gaidi,maana Tanzania hatuna ugaidi.ila nataka nikwambie tu kwamba watu wanaoteka au kutesa watu hapa Tanzania ni hatari kuliko hata makundi yote ya kigaidi hapa duniani.kwa sababu watu walimvamia Dr,Mvungi wakamshambulia hadi mzee akafa ,hadi leo haijajulikana ni watu gani na nini sababu ya kufanya hayo
Mwandishi wa habari na mbunge wa ubungo Saed Kubenea alishawahi kuvamiwa ofisini kwake na kumwagiwa tindikali usoni,hadi leo haijulikani waliofanya hayo wala sababu hazijulikani
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kubanda alivamiwa na watu wasiojulikana akapigwa akaumizwa,hadi leo haijulikani ni nani walifanya hayo na kwa sababu zipi
Aliyekuwa mwenyekiti wa madaktari alitekwa na kupelekwa msitu wa mabwepande,alipigwa nusu kufa hadi leo haijulikani nani alifanya hayo na kwa sababu zipi?
Bomu lilirushwa kwenye mkutano wa Chadema hadi leo haijulikani aliyefanya hayo wala sababu zake
Na safari hii kapotea Ben saanane haijulikani alipo wala sababu ya kupotea,kwa mtirirko huo ni wazi kwamba hao wanaofanya matukio hayo ni watu hatari sana kuliko magaidi wote duniani.harafu wanajua kutunza siri sana,maana magaidi wakifanya tukio huwa wanasema,ila hawa hawasemi.na hawakamatwi.

mkuu mbona hujazungumzia majambazi ambayo yanaua watu kwa mapanga na bunduki kila siku mitaani.

majambazi yanateka magari, yanapiga watu wakati mwingine mpaka yanawalazimisha hata baba na binti yake wavue nguo walalane aiseee.!

au una ki ajenda cha kisiasa siasa dizaini nini.?
 
Bila shaka watu hao wanalindwa , wakati wa sakata la Dr Ulimboka alitajwa mtu aliyeitwa Ramadhan Ighondu na hakukamatwa wala kuhojiwa hadi leo .
Ila kwa huyu Ulimboka kiukweli sijawahi na wala sitawahi kumtetea,huwezi kuwaambia madaktari wagome,means unataka watu wafe mahospitalini.sasa si uuaji huo?
 
Unakuta mwanausalama wa Tz anacomment Uzi aliopost The bold " woow Mossad ni hatari" Am like, are you Fkn crazy you nigga.
mkuu ushawahi kuishi Trinidad and Tobago? Naskia kuna uhalifu wa kufa mtu. Nilikutana name mghana mmoja alikuwa dereva teksi huko miaka 8 amezaa name binti wa Indian mpakan name Venezuela. Alinipa story za huko dah
 
Nimeshindwa kuelewa niweke neno gani ambalo linaweza kushabihiana na neno gaidi,maana Tanzania hatuna ugaidi ila nataka nikwambie tu kwamba watu wanaoteka au kutesa watu hapa Tanzania ni hatari kuliko hata makundi yote ya kigaidi hapa duniani.

Kwa sababu watu walimvamia Dr. Mvungi wakamshambulia hadi mzee akafa, hadi leo haijajulikana ni watu gani na nini sababu ya kufanya hayo.

Mwandishi wa habari na mbunge wa ubungo Saed Kubenea alishawahi kuvamiwa ofisini kwake na kumwagiwa tindikali usoni, hadi leo haijulikani waliofanya hayo wala sababu hazijulikani.

Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kubanda alivamiwa na watu wasiojulikana akapigwa akaumizwa, hadi leo haijulikani ni nani walifanya hayo na kwa sababu zipi.

Aliyekuwa mwenyekiti wa madaktari alitekwa na kupelekwa msitu wa mabwepande,alipigwa nusu kufa hadi leo haijulikani nani alifanya hayo na kwa sababu zipi?

Bomu lilirushwa kwenye mkutano wa Chadema hadi leo haijulikani aliyefanya hayo wala sababu zake.

Na safari hii kapotea Ben saanane haijulikani alipo wala sababu ya kupotea,kwa mtirirko huo ni wazi kwamba hao wanaofanya matukio hayo ni watu hatari sana kuliko magaidi wote duniani.

Halafu wanajua kutunza siri sana,maana magaidi wakifanya tukio huwa wanasema,ila hawa hawasemi na hawakamatwi.
Mungu anawaona na atawafarakanisha wao kwa wao ili ukweli ujulikane
 
Back
Top Bottom