Elections 2010 Hawa wamezuiwa kupiga kura na Mafisadi

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Mbali na wanafunzi wa elimu ya juu kuondolewa kimkakati kupiga kura, kuna kundi lingine nalo limeongezwa kwenye idadi ya watakaoshindwa kupiga kura Jumapili tukufu ya Mabadiliko.

kwa Taarifa sahihi na za uhakika nilizozipata nchi nzima, kuna watu wanapita kwenye vituo vya kupigia kura kulikobandikwa majina ya wapiga kura na kukakata baadhi ya majina ya wapiga kura wanaodhaniwa kwamba ni wafuasi wa vyama vingine visivyotakiwa kushinda kwa kalalmu za wino na kueneza Propaganda kwamba watu hao wamefutwa na Tume ya uchaguzi.

Maeneo ya Arusha, Mbeya, Mwanza na Songea yafanyiwe kazi kuwaelimisha watu kwamba waliofuta majina yao kwa Pen ni wahuni wanaopaswa kupuuzwa. Kazi kwetu.
 
Back
Top Bottom