dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
ameletwa hapa dar kwa ajili ya sherehe za Muungano, lakini cha ajabu wanajifanya kujua kuliko wazawa. watu wenyewe hawana hata miezi mitatu mtaani wanaleta kibase. Nahofia wakishapata hela za Muungano baada ya kwata ntapiga mtu na kirungu, wenzao wameshapangiwa kazi mkoa lakini wenyewe kuzurula wanatupiga piti mtaani. Mimi nawavutia pumzi. sijui kwanini polisi wahusike kwenye maswala ya siasa, eti mwendo wa kasi, wa kazi gani? nimechukia sana. ova