Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

ah wapi, katika hiyo list Lowasa ana watu watatu tu: makamba, mwigulu na Shigela ambao wamepita kwa hela nyingi sana. Wassira anajiuza mwenyewe na ni right hand man wa JK, membe hivyo hivyo, Lukuvi naye ni wa JK sana, Mukama vuguvugu (double faced - hajui alitendalo), mukangara naye ni wa JK, Mathayo naye kivyake vyakke tu, Msome ni wa membe

Ushindi huu unamaanisha pesa siyo kila kitu lakini pia kwamba Lowasa hawezi kuwachagulia wanaCCM nani achaguliwe na ni nani asichaguliwe na ndiyo maana Lowasa alikimbia kundi hili akaenda kuhonga kule Monduli. Membe kaonyesha kiwango cha juu cha uadilifu kwa kutotumia hata sh moja kuhonga mpiga kura ama mpiga kampeni hata mmoja na kushinda, anafaa kuwa amiri jeshi mkuu huyu

Unajuaje MEMBE hakuonga? na LOWASSA alihonga? CCM ni hatari kweli... Sasa kama Mnajuana kwanini MSISEMANE???

Na kuondolewa UONGOZI?
 
Kwa nini Pinda hakugombea U-NEC wa CCM? Ni mara ya kwanza kutomsikia WaziriMkuu aliye madarakani kutogombea. Hii maana yake nini?
 
Ama kweli sasa nimeamini kwamba Tanzania inamatatizo makubwa kwani watu wanaofaa uraisi siwasikii wakitajwa tunatajiwa majina ya walioshindwa siku nyingi hawana mahala ukasimama na kujivunia kuwa ni viongozi wanaoweza kuikwamua nchi na matatizo ya umaskini na rushwa. Nawasikia Akina Lowasa, Membe, Wasira, Migiro, Kigoda, Sita n.k. CCM naomba Muse serious Watz tumewachoka jamani na watu maslahi hawana jipya.

Tajeni watu makini kama vile:
1. Mwakyembe
2. Magufuli
3. Kagasheki
4. Muhongo
5. Salim Ahmed Salim.

Tuache upuuzi miaka inaenda hakuna tunafanya zidi ya kupoteza raslimali na maliasili zetu kwa kukosa ubunifu, dira na usimamizi wa viongozi wazalendo, wenye uchungu na Taifa letu.

Huyo kwenye nyekundu ndo ambae alitakiwa awe our Presidaaa 2005 kabla ya organized mafia haijamcingizia kuhucika na mauaji ya Karume.. Naamini kama tungebahatika kuwa nae as our President tungekuwa na mafanikio zaidi.. Cidhani kama atataka tena kujihusisha na siasa tena.. Kiongozi muadilifu kama yeye ana ethics zake.. Hao wengine uliowataja mh..
 
Wewe lazima utakuwa .......... Benard k. Membe Junior:confused2: ile list yake ya wale watakaokimbilia kenya anatoa lini?

Acha kupotosha maana ya posting! Membe ana ushindi wa kimbunga. Imetoka ndiye kiongozi mwenye busara pekee aliye baki. Angalia anavyoshughulikia mgogoro wa Malawi, Babu yako kasema tuwapige mabomu vita ndio dawa yako. Amiri jeshi lazima awe na furaha.
 
Ungetoa sifa zake labda tungeona kuna kitu umeandika, hii nafasi ni nyeti na nataraji cdm itanufaika kwa kuwa ccm kila mtu anawaza uraisi, na ukiangalia sifa zao huzioni, na baadae watatafunana wenyewe na ndipo chadema watakapoibuka kidedea.
 
Wasira akiwa rais basi Tanzania tutahamia nchi yingine nchi haiwezi ongozwa na vichaa kama wasira
 
Nitashangaa CCM ikimteua. Ila kama ulivyosema CCM wanashabikia watu wa ajabu na sifa zao za uongozi ni jinsi unavyoweza kuwatukana Chadema. Ila siamini kama anaweza kupambana na peoples power

Mkuu chadema kupambana na CCM 2015 ni hadithi tu hakuna wapinzani mule, chadema wengi ni wasomi waliokosa ajira hawana hata kadi za kupigia kura! na vijana wa waliopigika. Sorry but that the truth and the truth shall be told
 
Hii ndiyo Tanzania bwana, hivi kuna watu wanaweza kabisa kukaa chini na kumfikiria Wasira kwenye nafasi ya Urais? Kweli kama ndiyo hivyo basi nchi imefilisika.
 
Ama kweli sasa nimeamini kwamba Tanzania inamatatizo makubwa kwani watu wanaofaa uraisi siwasikii wakitajwa tunatajiwa majina ya walioshindwa siku nyingi hawana mahala ukasimama na kujivunia kuwa ni viongozi wanaoweza kuikwamua nchi na matatizo ya umaskini na rushwa. Nawasikia Akina Lowasa, Membe, Wasira, Migiro, Kigoda, Sita n.k. CCM naomba Muse serious Watz tumewachoka jamani na watu maslahi hawana jipya.

Tajeni watu makini kama vile:
1. Mwakyembe
2. Magufuli
3. Kagasheki
4. Muhongo
5. Salim Ahmed Salim.

Tuache upuuzi miaka inaenda hakuna tunafanya zidi ya kupoteza raslimali na maliasili zetu kwa kukosa ubunifu, dira na usimamizi wa viongozi wazalendo, wenye uchungu na Taifa letu.
Labda Mwakyembe ila hao wengine simuoni anayeweza kufaa kwenye nafasi ya urais kwa sasa. Watu kama akina Salim A Salim wanatakiwa kuwa washauri na si watu wa kufikiriwa kwenye nafasi ya Urais tena.
 
Msishangae 2015 akapewa ridhaa kuipeperusha bendera ya magamba
 
huyu kijana sikua namfahamu hadi siku anawatoa kamasi mnyika na zito kwenye bunge la bajeti. Yaani huyo jamaa ni mbayaaaa sana.
BGUP MTANI.

Anatoa Makamasi watu au MATUSI yanayomtoka MDOMONI ni kama VILE MBUMBUMBU... Sijui kwanini bado anaivaa bendera ya NCHI SHINGONI MWAKE...
 
Wasira ameibuka kuwa maarufu sana ndani ya CCM. Kuna waziri mmoja nilizungumza nae akasema watu hawampi nafasi katika hali ya kawaida ila jamaa ni mwanasiasa mwenye mbinu za chinichini na imedhihirika kwa idadi ya kura alizopata NEC. Wakati Lowassa na membe wanapigana, yeye anajijenga na atanufaika kwa vita vya makundi. Tusubiri tuone
Hey over my dead body kumchagua wahasira kuongoza nchi yangu. Unataka watalii waje kutafuta "zamadamu" wanaoishi???!!
 
Sio kweli. Mnalikuza tu jina la fisadi huyu bila aibu. Mwisho mtasema na mimi niko kambi ya Lowasa!
Mkuu list ya watu waliokuwa wanatakiwa kupigiwa kura kutoka kambi ya Lowassa ilitolewa na kusambazwa kwa wajumbe Dodoma na ilivuja na kufika hadi kwenye vyombo vya habari na hata humu JF ilifika siku kadhaa kabla ya uchaguzi.

Majina yote yaliyokuwa kwenye hiyo list yameshinda kasoro moja la Assupter Mshama(Mbunge wa Nkenge) badala yake kashinda Benard Membe.

Embu jiulize kama Membe mwenyewe kashika nafasi ya sita tena kwa kubebwa na mwenyekiti na kuchakachukua kura!!? Je watu wake wameambulia nini?
 
CCM imegeuka kuwa chama cha ajabu sana; Yani Katibu Mkuu wa Chama aliyepo madarakani anaponea chupuchupu kwa kushika nafasi ya tisa kwa idadi ya kura, kati ya jumla ya idadi inayotakiwa ya watu kumi?

Mambo kama haya hayajawahi kutokea; Ina maana huyu Katibu Mkuu alikuwa anafanyeje kazi na viongozi waliomshinda kura ambao technically ni junior kwake kicheo ndani ya chama, hasa yeye akiwa ndio mtendaji mkuu - Kina nchemba, Makamba, Shigela? Hii inatoa ishara gani kuhusu nani ndio alikuwa anakiendesha chama, na nani atakiendesha chama kuelekewa 2015 na kwwa malengo yepi? Kwa kweli matokeo haya yametoa picha very interesting kuhusu jinsi gani chama hiki hakitaisha na migogoro;

Vinginevyo naona majina mawili tu ambayo yatajenga, mengine yatabomoa tu zaidi!

Lakinii PIA ni AJABU kupata kura HIZO kaanza kuifanyia kazi CCM Miaka 2 iliyopita sio WENGI wanaomfahamu - Hana PURUKUSHANI kama NAPE NNAUYE au MCHEMBA

Kwahiyo HE DID VERY WELL...
 
Back
Top Bottom