E etc Member Apr 19, 2012 5 0 Apr 23, 2012 #1 hivi kweli serikali hii ya ccm inawajua wamarekani, mpaka kuweka nchi rehani kwa net. waliojengwa na marekani hawa hapa...
hivi kweli serikali hii ya ccm inawajua wamarekani, mpaka kuweka nchi rehani kwa net. waliojengwa na marekani hawa hapa...
BAGAH JF-Expert Member Jan 17, 2012 4,523 1,060 Apr 23, 2012 #3 ghaaaaaaaa!...babu hujui kuattach?alaa!
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Jan 26, 2012 1,996 615 Apr 23, 2012 #4 MadameX said: Wako wapi... Click to expand... hawa hapa
Anko Sam JF-Expert Member Jun 30, 2010 3,200 820 Apr 30, 2012 #5 Gwankaja Gwakilingo said: hawa hapa Click to expand... We mjeshi, niletee binocular pale nyuma ya mlango....!
Gwankaja Gwakilingo said: hawa hapa Click to expand... We mjeshi, niletee binocular pale nyuma ya mlango....!
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 May 2, 2012 #11 Shine said: Unalo limekugandaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! Click to expand... maneno ya taarab hayo,
Pinokyo Jujuman JF-Expert Member Feb 5, 2012 552 104 May 2, 2012 #12 Dah aisee sasa mbona hawajavaa nguo?
Cantalisia JF-Expert Member Sep 26, 2011 5,222 2,929 May 2, 2012 #14 Hahahah hahaha hahhaa, Nyie watu nyie mmenichekesha sana 'hakika hawa ndio wamarekani lol!'
C Capt Tamar JF-Expert Member Dec 15, 2011 11,747 14,649 May 2, 2012 #15 Walikuwepo hapo muda si mrefu,nadhani wameenda kwa mama ntilie maana walikuwa wanalalamika njaa