Hawa ndio huwageuza watoto wao MAJOKA

TUPAC WA MWAKALELI

JF-Expert Member
May 23, 2014
354
105
Juzi jicho LA Watanzania wengi lilikuwa Arusha kulikokuwa na tukio la joka aina ya chatu.
Wote twajua kuwa yule Chatu eti alikuwa no first born wa braza tajiri.
Waweza jiuliza hivi inakuwaje mtu amgeuze mwanawe nyamafu? Hii inawezekana kwa watu wenye uthubutu huu:-
1. Wenye kuwapa watoto majina ya ajabu Kama Chausiku, Chuki, Mateso, Majuto, Tabu, Shida etc

2. Wenye kushinda kwa waganga kila uchao. Leo kuchanjia akili darasani, kesho kuyafuta ukurugenzi Bank kuu wakati hata hujui fedha ya MArekani inaitwaje.
3. Wenye kujidai wema Sana huku wakijicha chin I ya kivuli cha dini.
3. Wenye kusaka nafasi za juu za uongozi wa kisiasa
4, wenye pupa ya utajiri

Na wote wanaofanana na hao
 
Mwacheni mzee Wa kanisa kesho aanz dominika vema,hakuna haha ya kuendelea kumsakama ki hivyo
 
tupack vp saiv ,unaishi Arusha? Mi nipo mwanza ,tulimaliza wote pale mk form 6 in 2004,nicheck ktk whatsapp 0755319097
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom