Hawa mawaziri wasipo jiuzuru wananchi wataitupa chini Ccm 2015 kwa kura nyingi

Apr 9, 2012
78
8
Kunauwezekano,CCM ikaaga 2o15 kama kweli mawaziri hawa hawatajiuzuru ,kunaukweli usiorasmi kuwa mawaziri wamesoma upepo wawazi kuwa ccm inaweza kuja dondoka uchaguzi ujao hivyo kila waziri kwenye idara nyeti sasa ni kulamba pesa za umma anavyoweza ili kujiweka sawa kiuchumi ushauri wangu nyie Ccm fanyeni uamuzi mgumu watoeni hawa mawaziri bila shaka ili musije zama kirahisi haya yalitokea zambia kaunda alifikiri wananchi bado wako naye kumbe masikini walisha badilika mzee akaangukia pua jipimine timiza ahadi zenu vinginevyo ccm Mwafwa wanawitu 'tukate'
 
we erasto hawa magamba wametawala miaka 50 hivyo vyovyote itakavyo kuwa lazima waondoke 2015 ili tupishe ndoa nyingine.
 
Back
Top Bottom