Hawa jamaa sio wa kuamini wakichukua nchi watakuhukumu kama Saif A l-Islam

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,089
10,065
Nimeshangazwa sana na kauli ya Mbowe kuwa muda wote alikuwa na mawasiliano na maofisa wa juu wa ccm na akawahakikishia kuwa hakyamungu hawatamchukua yule fisadi, kama ni kweli basi mlifanya kosa la kijinga na kipumbavu mno, hao wamachame uliwaaminije? Upinzani wa kiafrica maana yake ni uadui ukae ukijua hilo.

Sasa umewaona walivyo wanafiki subiri wakichukua nchi watakata kichwa kama alivyofanyiwa Saif Al-Islam wewe cheka nao tu, nakwambia acha kutumbua macho. Badala ya kupanga safu unakwenda sijui wapi? are serious?

Kule zambia walileta mzaha huu huu, waulize mtoto wa kaunda yuko wapi? mtoto wa Raila yuko wapi? Ipyana yuko wapi? Rais Talbert aliuwawa na mtoto wa dada yake aliyekuwa akimwamini halafu unawachekea shauri yako utakumbuka maneno yangu siku moja.

Utakimbilia milimani kama Jerry Rawling nakwambia sasa, nako watakuchomoa tu.
 
Mtasema sanaaaaa, lakini Mwenyenzi Mungu atahukumu kwa haki, Allah huleta mwovu kwa ajili ya siku ya uovu, ila pia ukombozi waweza letwa na yeyote yule maana Mola ni mwingi wa Rehema na neema.
 
.....Nyambaf wakati mnakwiba, beba twiga wetu, iba kila shirika na taasisi, ua albino mlitegemea mtasingizia tezi jike hadi lini ???
Lazima muogope na mjiandae kunyea debe kudadek ....dawa yenu kwisa iva na mtalipa damu ya akina Chifupa, Mwangosi n.k !!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom