Naomba galz wanisaidie,hv n vizur kufanya mapenzi on your first date coz i am confused
aiseee!!
Mbona hueleweki 1.we ni demu au mshkaji?Naomba galz wanisaidie,hv n vizur kufanya mapenzi on your first date coz i am confused
Pole binti. Inaonekana umeliwa on your first date and u feel bad...take it easy. It happens.
Mbona hueleweki 1.we ni demu au mshkaji?
2. First date unamaana ndo mara yako ya kwanza kuwa in relationship siyo? Kama ni hivyo, no matter it's your first date or whatever, watu tunasex 2. Mpange tena, akija usianze na story, michakato then story baadaye. Ukishindwa basi endelea na upadri.
HAINA SHIDA KAMA HAUJAVUNJA SHERIA ZA NCHI, however whether U do it on first day or after one year, the act is the same! kama mmependana na kukubaliana kwa nia ya kufurahia tunda, kwa nini mlete unafiki eti mpaka baada ya muda kupita ili ionekana si wahuni?Naomba galz wanisaidie,hv n vizur kufanya mapenzi on your first date coz i am confused
haiko hivyo,mwanamke lazima lazima ujue kunata ili upime penzi lenyewe ni la aina gani kwani ukisema umkubalie kila mtu at frist site utatembea na wangapi, ili upate nini na kwa muda gani. mwanamke silka yake kutulia na anasifiwa sana anapokuwa na minat kimtindo. mambo mengine ya sebene ni utundu tu kwani hata utumbo ukipikwa vizuri huwa unanoga. Pia siyo busara kwa mwanamke kutembea na kijivulana ambacho kikitoka hapo kinakwenda kusema mwingine ni mshamba unakuta ndo siku ya kwanza anajaribu. tulia tafuta mtu mwenye heshima zake. mdatishe sana kisha mpe dozi takatifu kama atakuacha. jamani hivi hamjawahi kumfunda mwali chumban? kama badoo basi wewe ni mdogo sana kwa haya ninayo kwambia.
we endelea kuwa padri tu mkuu.

dah........endelea kutoa eksiplanesheni!