Haufanya kazi mpaka ushikwe nyuma!

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Mwenzenu napata tabu sana na hiki kifaa changu!Siku zote hufanya kazi upande wa mbele,lakini katu haiwezekani kufanya kazi zake mujarrabu mpaka kishikwe kwa kubanwa sehemu ya nyuma!!Imekuwa ndio kawaida yake,kama sheria vile!!Unafikiri ni nini hiki?NI MKASI WA KUKATIA VITU!
 
u mini mpaka wakusqueeze nyuma ndio mbele kufanye kazi? Du pole kama si riziki
 
Naona wafuasi wa David Kamerun siku hzi ni wengi humu JF. Pole sana bandugu!
 
Poem dear.....I love it all the way from you kaby!
Pumzi zimeniishia, jina lako kuliona
Kipipi nakuzimia , ni lini tutaonana?
Mwenzio naangamia, nimedhofu hali sina
Moyoni ninaumia , we ndie wa kunipona.


Tobaaaa! nakufa jamani!
 
Pumzi zimeniishia, jina lako kuliona
Kipipi nakuzimia , ni lini tutaonana?
Mwenzio naangamia, nimedhofu hali sina
Moyoni ninaumia , we ndie wa kunipona.


Tobaaaa! nakufa jamani!

Aiseeeee!kipipi dear loya kamwaga mistari msikilize tafadhali acje akafa wakati bado tunamhitaji lol!
 
Pumzi zimeniishia, jina lako kuliona
Kipipi nakuzimia , ni lini tutaonana?
Mwenzio naangamia, nimedhofu hali sina
Moyoni ninaumia , we ndie wa kunipona.


Tobaaaa! nakufa jamani!

Kipipi jibu hiyo makitu fasta, ujue ni mtu mzima huyo? Kamwaga sera !
Funguka mama modo !
 
Kipipi jibu hiyo makitu fasta, ujue ni mtu mzima huyo? Kamwaga sera !
Funguka mama modo !
Tena apo mkuu nimejipinda kwa nguvu zote, nimetumia mpaka swahili-english dikshineri kuiba misamiati. Akinikataa lazima nimeze panadol sita kujimaliza
 
Back
Top Bottom