Hatutaki megawatt,tunataka umeme

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Ccm sisi wananchi mnasumbua vichwa vyetu na megawatt zenu.
Sisi tunaitaji umeme siyo megawatt.
 
watu wangapi wanajua maana ya megawatt ni nini?
 
Sisemi MENGI
Kwa staili hii kweli tumekwisha
Jairo hongo.jpg
 
takwimu zinaonesha uchumi umepanda kwa asilimia 7, hilo ni ongezeko kubwa...hahahahaha dah bongo bwana..wakati raia choka mbaya, mambo ya megawati wkt giza totoro
 
Back
Top Bottom