Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,681
- 104,505
Kwa sasa hivi salama yao wote ni kuwa ndani ya mtumbwi wa ccm, kwa huu wizi walioufanya hawana namna, bora wabaki wote humohumo na wajiandae kuja kufanya mauaji kwa kulazimisha uwizi wa kura. Ingekuwa chama chao kimepata ushindi wa uhakika wakati wa uchaguzi s/m uwezekano wa kufukuzana wangalau ungekuwepo lakini sio katika hali hii.