Hatua muhimu za kuanza kufanya meditation

Mh....
Naanza kuelewa kwanini kanisani wanasisitiza sana hizi ni nyakati za mwisho.Tukeshe tukisali na kuomba.
 
Una haki ya kutetea kile unachodhani kuwa ni sawa.
Furaha ya kweli hupatikana pale unapojijua na kujielewa. Ulijua kuwa mwanamke fulani ni mzuri kwa sababu uliambiwa mtu mzuri yuko vipi. Ulijua kuwa kuna shetani kwa sabu uliambiwa kuwa shetani yupo.

Ndipo hapo sisi wanadamu tulianza kutengeneza ulimwengu mpya ndani ya akili zetu na kuanza kuishi katika ulimwengu huo.
Ndio maana ninajaribu kugusia vitu vidogo vidogo na hatimaye hatua ya pili. Hakuna aliyejua dhambi pasipo kuambiwa hii ni dhambi. Hukuna aliyejua kuwa yeye ni wa nchi fulani kabla ya kuambiwa. Je unafikiri waliotutanguliwa wana usahihi kiasi gani kututengenezea ulimwengu wa namna hii?.

Mfano mmoja kuna watoto mapacha ndani ya tumbo la mama yao walianza kujadiliana mmoja akasema sisi tupo wawili tu hakuna mwingine na ulimwengu wetu unaishia hapa. Ndipo mmoja akachungulia kupitia kitovu cha mama yake na kuona mwanga na vitu vingi tu. Akawa anamweleza mwenzake kuna vitu zaidiya hivi tuvionavyo.

Jaribu kutafakari huu mfano ukiwa katika utulivu kuna kitu utagundua.
 
Ahaa nimeshaanza kukuelewa, Umezungumzia vitu viwili 1.UELEWA/KUJIELEWA 2.MFANO ULIOUTOA HAPO JUU

TUANZE NA HILI
1.UELEWA

Mwanadamu hana maarifa ya kumzidi shetani au Mwenyezi Mungu, Kuna vitu vingi sana sisi hatuvijui na kwa hili Mwenyezi Mungu alitupa Biblia Iwe kama Mwongozo wetu. Utakumbuka hata Shetani Alitumia neno Akili/maarifa Kumrubuni Hawa Alimwambia akila tunda la Mti wa Katikati atakuwa kama Mungu yaani Aafanana nae. Shetani alitumia Maarifa Kumdanganya Hawa. Hawa Hakuwa na uelewa wa kutosha hivyo aliacha Msimamo aliowekewa na Mwenyezi Mungu akajikuta amedondokea kwenye dhambi.

Mwongozo tuliopewa sisi nyakati hizi za mwisho ni Biblia takatifu, Ukiiacha maana yake hujafanya kitu kipya bali Umemwacha Mwenyezi Mungu na kufuata njia zako mwenyewe/shetani

Kumeditate ni kama kumwabudu shetani, ni kama unamweka Mungu kando. Kumbuka Amri ya kwanza ya Mungu ''Mimi ndimi bwana Mungu wako usiabudi miungu Mingine.

2.MFANO ULIOUTOA

Mfano ulioutoa ni nadharia tupu hakuna ukweli hapo. Hata ukimweleza Mtoto wa Darasa la kwanza anajua utakuwa unamwongopea.

Kiuhalisia sikatai kuna vitu vingi zaidi ya nivijuavyo lakini si kwa kutaka kuvijua kwa kupitia kumsaliti Mwenyezi Mungu.

''Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''

Tulia soma biblia kwa utulivu utapata majibu ya maswali yako maishani.
 
Sio mbaya. Ila mimi nipo hapa kuelekeza wale walio tayari. Na siwezi kudharau unacho hisi ni sahihi. Lakini umejaribu kutafakari niliyosema?
 
Ahaa nimeshaanza kukuelewa, Umezungumzia vitu viwili 1.UELEWA/KUJIELEWA 2.MFANO ULIOUTOA HAPO JUU

TUANZE NA HILI
1.UELEWA

Mwanadamu hana maarifa ya kumzidi shetani au Mwenyezi Mungu, Kuna vitu vingi sana sisi hatuvijui na kwa hili Mwenyezi Mungu alitupa Biblia Iwe kama Mwongozo wetu. Utakumbuka hata Shetani Alitumia neno Akili/maarifa Kumrubuni Hawa Alimwambia akila tunda la Mti wa Katikati atakuwa kama Mungu yaani Aafanana nae. Shetani alitumia Maarifa Kumdanganya Hawa. Hawa Hakuwa na uelewa wa kutosha hivyo aliacha Msimamo aliowekewa na Mwenyezi Mungu akajikuta amedondokea kwenye dhambi.

Mwongozo tuliopewa sisi nyakati hizi za mwisho ni Biblia takatifu, Ukiiacha maana yake hujafanya kitu kipya bali Umemwacha Mwenyezi Mungu na kufuata njia zako mwenyewe/shetani

Kumeditate ni kama kumwabudu shetani, ni kama unamweka Mungu kando. Kumbuka Amri ya kwanza ya Mungu ''Mimi ndimi bwana Mungu wako usiabudi miungu Mingine.

2.MFANO ULIOUTOA

Mfano ulioutoa ni nadharia tupu hakuna ukweli hapo. Hata ukimweleza Mtoto wa Darasa la kwanza anajua utakuwa unamwongopea.

Kiuhalisia sikatai kuna vitu vingi zaidi ya nivijuavyo lakini si kwa kutaka kuvijua kwa kupitia kumsaliti Mwenyezi Mungu.

''Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''

Tulia soma biblia kwa utulivu utapata majibu ya maswali yako maishani.

Hapa ndio naanza kukubali kuwa dini ni zaidi ya bangi na vilevi vyote.

Na tutajuaje uko sahihi wakati kuna uislam, ubudha, uhindu nk?

Kijana jitahidi uwe na akili huru na sio kujitoa ufahamu kiasi hiki
 
Mods tunaomba msaada tafadhali, huu uzi uhamie jukwaa la intelligence. Cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
jamani naomba kuuliza kidogo aya mambo ya meditation hayana uhusiano wowote na nguvu za kishetani?
 
Meditation kama pure practice haina shida kabisa unaweza hata ukameditate kwa imani yako ......shida ni pale inapochanganywa na imani za wasioamini katika Mungu na kughani (chanting)mambo yanayoalika viumbe visivyoonekana wala kujulikana au kusikiliza nyimbo zenye midundo ya taratibu sana lakini maudhui yake hukubeba na kukupeleka dunia nyingine kabisa
 
unatishaaaa
 
Back
Top Bottom