Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Hii picha imeshawekwa humu kabla. Hapa ni Ubungo jirani na river side. Magari yalikuwa yanapita hapa
Hapa ni upande wa pili. Palimomonyoka hadi kufikia hivi kipindi kile cha mafuriko
Hapo ukilinganisha na picha ya kwanza unaweza kuona jinsi wadau walivyoweza kubomoa ukuta na kufanya njia
Majengo yanazidi kuporomoshwa kupisha mmomonyoko. haijulikani ni hatua zipi zinachukuliwa kuikabili hii hali