Hatimaye Tanzania yaingia 10 bora ya Nchi za Afrika zenye mazingira bora na salama ya kufanya biashara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,744
Kwa Mujibu wa taarifa ya jarida la Oxford Economics Africa kama ilivyonukuliwa na Jarida la Biashara la The Business Insider,Kwa mara ya kwanza Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi Zenye Mazingira Bora ya ufanyaji biashara mwaka 2023.

Hii ni hatua kubwa na ushindi wa sera za biashara za Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Mageuzi Samia SS.Ni juzi tuu hapo Waziri Mkuu alikuwa anazindua Huduma ya kujisajilo Kwa njia ya kidijidali Kwa wawekezaji.

My Take
Itoshe kusema Samia anaendelea kuiheshimisha Tanzania kwenye nyanja zote kuanzia Uchumi Hadi Michezo.Kazi iendelee.

Screenshot_20230929-184346_2.jpg

======
Africa over the last few years has become a haven for foreign investments, as businesses from across the globe are becoming highly aware of the potential for rapid capitalization that locals have been conversant with for decades.
The continent’s willingness to adapt to the latest technological advancements, young demographic, vast natural resources, and evolving economic policies all make for a conducive and profitable business ecosystem, the likes of which have earned Africa the title of the fastest-growing economy.

Africa is endowed with a vast array of untapped opportunities, albeit under some of the world’s most complex and delicate socio-economic conditions.

Africa’s unstable political climate can sometimes make doing business a hassle, however, this narrative is geared towards only a few African countries and not the entire pack, as some regions on the continent still boast some of the friendliest business ecosystems in the world.
influence continues to expand, so do its financial policies, which of course are instituted to allure foreign and domestic investors. A report by Oxford Economics Africa, an independent economic advisory firm, highlights the aforementioned point in its 2023 “The Africa Risk-Reward Index” report.

The report examines the profits and pitfalls of polarization in each African country, African-led security interventions, and how African countries are financing for the future. By accessing these three factors, the research can deduce the countries with the highest risk-to-rewards ratio when it comes to conduciveness for establishing foreign businesses.

This list is the inverse of an earlier published list of the top 10 riskiest African countries to do business in 2023, in the sense that the countries with the lowest risk index in The Africa Risk-Reward Index” are listed here as the safest African countries to do business in.

With that said, below is the list of the top 10 African safest countries to do business in 2023.

RankCountryRisk index
1. Mauritius 3.52
2. Botswana 3.68
3. Morocco 4.13
4. Namibia 4.42
5. Senegal 4.98
6. South Africa 5.06
7. Tanzania 5.35
8. Tunisia 5.45
9. Rwanda 5.46
10. Côte d'Ivoire 5.56

FOLLOW BUSINESS INSIDER AFRICA​


Our newsletter gives you access to a curated selection of the most important stories daily.

Thanks for signing up for our daily insight on the African economy. We bring you daily editor picks from the best Business Insider news content so you can stay updated on the latest topics and conversations on the African market, leaders, careers and lifestyle. Also join us across all of our other channels - we love to be connected!

Unblock notifications in browser settings.

View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1705928247777874319?t=WxeKUhSkhnsu_GIJXcg7mg&s=19
 
Inategemea na biashara unayoifanya.... Fundi Welding, au muuza Juice hawezi kupata faida zaidi ya athara
Fursa ya kuwauzia mashine za welding zenye jenereta, pia fursa ya kuwauzia wauza juisi friji za sola.

Pesa haziji pasipo na fursa na kila tatizo ni fursa. ndiyo maana ya "Resilience" ya mama Samia.
 
Fursa ya kuwauzia mashine za welding zenye jenereta, pia fursa ya kuwauzia wauza juisi friji za sola.

Pesa haziji pasipo na fursa na kila tatizo ni fursa. ndiyo maana ya "Resilience" ya mama Samia.
Sasa hiyo ni fursa au kuniingizia gharama za kununua vitu ambayo sikuwa na mpango navyo... Welding ananunue generator, je unajua gharama za Petrol na Dieasel, hizi Ofisi za welding bubu tunawezaje kununua Petrol na Dieasel.

Kwa kauli hiyo unamaanisha ndio plan yenu tununue Solar na majenereta yenu. Yani unasema fursa kumbe fursa yenyewe ni ya kuwanufaisha wenye solar na majenereta 😂

Zungumzia fursa ambazo mimi nitanufahika kwa kukatika kwa umeme na sisi mimi kuingia gharama
 
Back
Top Bottom