Elections 2010 Hatimaye Shamshi Vuai Nahodha Apata Nyumba

Usomaji wangu wa hii thread umeathiriwa na avatar ya mleta mada. CCM ina vituo kama vya salimia waziri kupata nyumba mpaka.....


Sasa huo new africa hivyo vyumba ni dnio ukubwa wake unaligana na hadhi ya waziri kiongozi mstaafu.


hahhahaha Tanzania Ni comedy tosha . Na huko zanzibr uute bado ana nyumba ya serikali huku bara pia . haya .......



Inabidi tujue standards za nyumba za

  • Rais mstaafu
  • Wziri mkuu mstaafu
  • Jaji mkuu
nakuunga mkono hiyo avatar hatari! mleta mada aibadili haifanani na jukwaa hili
 
kwani yeye alikuwa ameteuwa kama waziri kiongozi?kama anajari hivyo cheo chake cha zamani imekuwaje kakubali kuwa waziri wa mambo ya ndani? huyu ni Jeuri, katili, mbinafsi , mwenye choyo na uchu wa madaraka naona jk hana kauli kwa mawaziri wakeagreed
 
kaka umeathirika kwa vipi?

Dada yaani wewe acha nimejikuta natumia dk nyingizaidi kuichugungulia avatar alafu ukizingatia ina kata K. Kwa wana saikolojia avator unayochagua wanawea kuitumia kukuelezea wewe ni mtu wa aje hata bila kukujua.


Vipi lakini Dada mpendwa taifa litaokoa shilingi ngapi kwa huyu bosi kupata nyumba.?
 
hapa tunashindwa kusoma na kujadili hoja hebu badilisha hiyo avatar. unatakiwa uwe una post kule kwenye jukwaa la wakubwa hapa hapakufai hata kidogo
 
kwani yeye alikuwa ameteuwa kama waziri kiongozi?
kama anajari hivyo cheo chake cha zamani imekuwaje kakubali kuwa waziri wa mambo ya ndani?
huyu ni Jeuri, katili, mbinafsi , mwenye choyo na uchu wa madaraka naona jk hana kauli kwa mawaziri wake

MASLAHI YA TAIFA KWANZA

Mkuu POSHO Kwa hili Rais ndiye mwenye matatizo! Hakupaswa kumteua Nahodha katika post yake ya sasa. Kwani hata kama MHA ni Wizara ya Muungano hakuona Mzanzibari anayefaa kwa post hiyo zaidi ya Nahodha? Tuoneane huruma jamani, hivi hayo ndiyo matumizi halali ya kodi zettu kweli?

sana anapewa allowance zipi?
ninaanza kuhisi kuna mchezo mchafu hapa.
waziri kiongozi ana allowance zake za kudumu (maisha) ina maana bado wanampa?
na kama wanampa hali yeye ni waziri wa mambo ya ndani hapo imekaa vipi?
pesa ya ulinzi ya huyu waziri zinatoka serikali ipi, watumishi wa ndani na dereva?
kama zinatoka serikali ya muungano tumeibiwa tunafanya majukumu ya serikali ya ZANZIBAR
hapa kuna maelezo mengi yanatakiwa uteuzi wa NAHODHA ni skendo

Mtu yeyote anayeamini katika TAIFA KWANZA kama wewe ana maswali mengi ya kujiuliza kuhusu uteuzi huo. Huyo bwana atakuwa anagonga marupurupu yote ya U-Waziri Kiongozi Mstaafu (ukiacha monthly pension) kutoka SMZ, na analamba mishahara na marupurupu yote ya U-waziri wa Mambo ya Ndani kutoka SJMT. Anayeelewa zaidi atatueleza. Kilichosababisha uteuzi ni kuiepusha Zanzibar na msukosuko wa baada ya Uchaguzi, si unakumbuka mbio zake ziliishia Dodoma? Maslahi ya "Wananchi wanyonge wa Tanzania" hayakuzingatiwa katika uteuzi wake wa sasa. Pinda alipaswa aorodheshe uteuzi wa Nahodha kuwa miongoni mwa "Maamuzi magumu."

hii kitu kama hakuna mfumo bora itamaliza nchi,
ajira zakikwete milioni moja zimeshikiliwa na watu laki moja,
kama huyo Nahodha angepumzishwa na mwingine akaingia hapo kuna mambo mawili taifa
lingenufaika nayo.
kwa watu wangepata uzoefu pili mgawanyo wa kipato na ajira sio mtu mmoja kula posho ya nchi
katika mpya itoe mwongozo wa cheo pia.
sio mtu anatoka iki anakwenda kingine, hasa hivi vyeo nyeti maana zina mambo mengi sana
hata werema atakuwa anavuta kote kama sikosei
 
Gademu wakati mwingine unafikiria umeshaona kila kitu and then some!

umegundua nini tena mkuu?
au ni hii ya watu kujilimbikizia vyeo na kuchota posho kwa kila cheo?
kama ni hiyo hao wako wengi tu, sasa kama waziri wa mambo ya ndani anataka kuheshimika kama waziri
kiongozi hali anajua walikuwa wanampa huduma za waziri wa mambo ya ndani , cheo anakitaka na nyongeza juu
kikwete alikosa washauri kumwonyesha kwamba huo uteuzi ulikuwa na tatizo.
 
WASISIMAGAMBA kweli hawana huruma! Kwanza huyu Mhe Waziri Kiongozi mstaafu Dkt Nahodha gazeti moja miaka miwili hivi iliyopita lilimwonyesha akikutana na wageni wake katika nyumba yake Oyster Bay. Ninafikiri naye aligawiwa zile nyumba za umma walizogawiana!! Sasa fikiri ana nyumba aliyopewa bure pengine kwa sasa anaipangisha na bado anakataa nyumba aliyojengewa baada ya kuteuliwa kuwa waziri kwa misingi ya kishetani kabisa. Hii shule haiko Katavi, iko Dar - kweli Muumba kama kweli yupo basi atawalaani hawa wasisimagamba!!!View attachment 33221
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom