Hatimaye Serbia kuwawekea vikwazo Urusi hata kama haitaki

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Ni kwa mujibu wa Rais wa taifa hilo bwana Alexander Vucic.

Serbia tangu mwanzo ilikwenda kinyume na nchi za ulaya kwa kugoma kuwawekea vikwazo Urusi kutokana na uvamizi wake huko Ukraine.

Lakini kwa sasa haina namna zaidi ya kuwawekea vikwazo hivyo ili kukidhi vigezo vya kujiunga na EU.

Hili taifa lilienda kinyume na west kwa kila kitu kama zinavyoonesha "related post" nyingi chini kabisa mwa hii thread ila kwa sasa lime "surrender"
 
Wakati hawa beberu wenzao wakiomba poo, nimemkumbuka mwamba aliyekuwa anajaribu kupingana na hawa mabeberu.
 
Ni kwa mujibu wa rais wa taifa hilo bwana alexander vucic.

serbia tangu mwanzo ilikwenda kinyume na nchi za ulaya kwa kugoma kuwawekea vikwazo urusi kutokana na uvamizi wake huko ukraine.

lakini kwa sasa haina namna zaidi ya kuwawekea vikwazo hivyo ili kukidhi vigezo vya kujiunga na eu.
"Hamkani"
Mshike mshike Ndege tunduni, wengine watoka wengine wanaingia!!
 
Back
Top Bottom