Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,756
- 29,316
Zimefanana lakin 737 next gen ni pana na engine kubwa zaidi. Madirisha na pua vimetofautiana sana.
Hii mbona ni Boeing 737 Next Generation.
Hii mbona ni Boeing 737 Next Generation.
Hivi ndugu zangu kama hujui kitu au huna habari za kutosha kwanini usikae kimya. Ndege za A220-300 ni mradi wa washiriki watatu, Airbus, Bombardier, na serikali ya Quebec. Wakati Tanzania wanaingia mkataba wa ununuzi, washiriki walikuwa wawili tu Bombardier, na serikali ya Quebec hadi Airbus waliponunua zaidi ya nusu ya hisa zote na kubadili jina la mradi kutoka CS na kuwa A220. Kiwanda kilo Mirabel, Montreal, Canada.
Hivi ndugu zangu kama hujui kitu au huna habari za kutosha kwanini usikae kimya. Ndege za A220-300 ni mradi wa washiriki watatu, Airbus, Bombardier, na serikali ya Quebec. Wakati Tanzania wanaingia mkataba wa ununuzi, washiriki walikuwa wawili tu Bombardier, na serikali ya Quebec hadi Airbus waliponunua zaidi ya nusu ya hisa zote na kubadili jina la mradi kutoka CS na kuwa A220. Kiwanda kilo Mirabel, Montreal, Canada.
Na kumbuka kuwa Airbus kazi yao kuwa ni marketing, lakini design and built ni Bombardier Aerospace Industry. So sisi kutokana na order yetu ambayo tuliplace before Airbus, tunapaswa kupata CS na sio A220-300
Ni kweli, Ingefaa sana hizi za kati na zile za ndani zikawa nyingi kwa kuwa viwanja vyote vilivyokarabatiwa vitahudumia na ndege hizi hizi na hasa Q400. Kimataifa, ukiisha anza kujitangaza kuwa mchezaji basi wateja wanakimbilia kuangalia ni mashine gani unatumia. Hii hufanikishwa na makampuni yaliyounda chombo. Mfano Airbus hivi sasa wako kwenye matangazo ya nguvu kuinadi A220-300 na kwa sasa Air Tanzania na ANA ya Japan ndio ziko kwenye chati.nadhani mkulu hilo ameliona....ila pia itategemeana na jinsi biashara inavyokwenda.....kwangu mimi nilikuwa naona kwa baadae ingekuwa vema kama wangeongeza hizi Bombadier dash 400 kama 7 hivi na hizi saizi ya kati kama 3 hivi....ili kuweza kulishika soko la Sub Saharan Africa.....Mfano kuna mtu akitaka kwenda Maputo lazima kwanza aende South Africa au Nairobi...ila kwa kuongeza hizi A220 kama 3 au tano na Bombadier kunaweza kuwa na route ya DSM -----Beira -----Maputo
Hahaha hata wachungaji na masheikh hawajawahi fika mbinguni, lakini ndio vinara wa taarifa za huko Mbinguni. Zoea tu kuona vitu kama hivi.Unaweza kuta mtoa mada hajawahi panda ndege kama Mimi afu anaimba nyimbo za kuabudu
Bombadier waliuza hisa karibia 51 % . Hiyo inawapa airbus power ya kuchange brand ya CS300Na kumbuka kuwa Airbus kazi yao kuwa ni marketing, lakini design and built ni Bombardier Aerospace Industry. So sisi kutokana na order yetu ambayo tuliplace before Airbus, tunapaswa kupata CS na sio A220-300
Hakija badilika kitu chochote zaid ya jina tu. Airbus hawajabadilisha technical components za ndege.. wala design. Technicaly ndege bado ni CS300, lakin kilicho change ni jina tu.Unless kama kulikuwa na kuchange gear angani, ila we need our C300, they are super planes and very ecomomical
Unless kama kulikuwa na kuchange gear angani, ila we need our C300, they are super planes and very ecomomical
We jamaa wewe, huishi ugomviZije ziongeze ushindani na Yutong kwenye local routes maana huko nje wadai wetu wanazisubiria kama mwewe
Unaweza kuta mtoa mada hajawahi panda ndege kama Mimi afu anaimba nyimbo za kuabudu
We jamaa wewe, huishi ugomvi
Washindane na Yutong sio!Mkuu siyo ugonvi ni ushauri tu
[QUOTE="Mgambilwa ni mntu, post: 29590833, member: 43]Kwa mwendo huu, anga la Tanzania litafurika midege yetu sisi Watanzania. Utajiri wetu wa maliasili sasa utafunguka sana maana viwanja vingi vitafikiwa na ndege hizo na hivyo kukuza sekta ya huduma hasa utalii na mahoteli.
Ethiopia na Kenya wamejaza mindege ya nn?Hivi wananchi wao wanamudu nauli za ndege?Hivi wananchi wao wanapata Huduma za kijamii kwa kiwango cha kuridhisha?Sipingi kuwa na ndege zetu, lkn tujiulize hivi tunajaza mindege ya nini, tukiwa nazo 20 halafu zinashinda JNIA zimepaki faida yake ni nini kuziangalia, logic iko wapi.
Inatumia engine za Pratt & Whitney na lazima zifanyike flight tests hadi hapo Government Flight Agency/ATCL is satisfied ndo ije.Kwahio hii ndege haijafika tu mpaka leo? Au nayo inatumia engine ya bombadier maana leo ni siku ya 4 ipo hewani tu Canada - Tanzania sio mbali kivile yani...