Hatimaye Miss Tanzania 2009 apata dhamana

mi naona kuna haja ya wahusika wa maandalizi ya miss Tz waweke vigezo vipya kwa wagombea na vigezo hivyo vianzie ktk vitongoji mpaka taifa maana hii ni aibu, kama wanashindwa kazi basi wajitoe ili tuanze upya kila kitu kuhusu haya mashindano kuliko kutuletea hivi vituko.
 
I am truely not the least surprised, but much rather expected such DRAMA!
I have completely lost interest in such matters, and the display of lack of NIDHAMU Just goes even a step further to solidate my point!
 
swali la kizushi:...Hivi tanzania wanatenganisha wafngwa wa kike na wa kiume au wote wanafungwa pamoja?....if so gereza la wafungwa wa kike liko wapi?najua tuna gereza moja tuu kule ukonga unless kuna mengine yamefungulia miaka ya nyuma.....
kuna nini kongwa, keko watu nagombania kama mali yao, segerea pia yote iko dar
 
mmmh scandal ndo zimeanza
sijui tuyategemee ya Ms Sepetu tena
these kids bana aaaaagrrrrrrrrrrrrrrrr

Mi nashauri kijana yeyote anayetaka kuwa msanii ktk inji hii kwanza awekwe ndani 6mnths in advance halafu akianza fani labda atakuwa na adabu
 
swali la kizushi:...Hivi tanzania wanatenganisha wafngwa wa kike na wa kiume au wote wanafungwa pamoja?....if so gereza la wafungwa wa kike liko wapi?najua tuna gereza moja tuu kule ukonga unless kuna mengine yamefungulia miaka ya nyuma.....

heee shostito upo?

nadhani tunatenganisha (ila sijui lipi ndo lipi au humo kuna partitions)
 
.....Huyu Miriam wa ajabu sana, mwanaume mwenyewe aliyetoka naye ni choka mbaya hawezi hata kutoa pesa ya dhamana ili watoke.
Hakutakiwa hata kukaa jail huyu, angekuwa mwanaume wa maana wangemaliza mambo yote siku ile ile wala wasingeenda segerea.
 
hata yule wa Wema nae si alikuwa wa hivyo hivyo tu!!!!

na huyu anye ni majuzi tu nilisoma eti lipredesheee lilimfumania na kiserengeti boy, basi likamtimua kwenye nyumba alokuwa amempangishia
maskini sijui ile laana y ayule mama wa mwanza ndo imeanza kutenda kazi!!
 
Wana JF,

What was all behind the Curtains to her (Miss TZ 2009),
Na ukisha kuwa Miss TZ ni lazima uje Kuishi Dar au?
Mbona Huko ma BollHoody,HollyHood, Niger Hood sijui mnavyosema sio wasanii wote hukaa hiyo miji wengine hutoka Province nyingine kabisaaa sasa hapa BONGO tumepumbazwa na uDar -es-Salaaam, ndipo panapo waharibu hawa wasaanii, wanamitindo,waigizaji etc,

OOOOOOhhhhhh, Lol,

Kumbe tatizo ni mwnaume tena wajameni na tubhaga lolo ghiiiii, ng'wana wise kabisa, huyo ngosha wake nae ni bure kabisa,

Lakiiiiiini na nyie warembo mbona mwataka kujifanya mwajua ya kimarekani sana msiwaige wa huko marekani na kwingineko jamani hayo ni ya majuu dis is BONGO LAND tuna utamaduni wetu na tujitutumue kwa utamaduni wetu na kuna vitu vya kuiga na visivyo igwa jamani.

Shule ni muhimu kwa sisi watanzania jamani tusidharau twendeni hata elimu za jioni tukitoka Job.
 
Mbona kasichana kenyewe ni kadogo lakini mambo yake makubwa!
Ameipata raha ya jela! Jela ni mbaya!
 
hata yule wa Wema nae si alikuwa wa hivyo hivyo tu!!!!

na huyu anye ni majuzi tu nilisoma eti lipredesheee lilimfumania na kiserengeti boy, basi likamtimua kwenye nyumba alokuwa amempangishia
maskini sijui ile laana y ayule mama wa mwanza ndo imeanza kutenda kazi!!
Hivyo huyo aliyefumaniwa na kiserengeti boy ni nani?
 
Mara ya kwanza walishindwa kulipa milioni 1,maajabu gani miss tz alishindwa kulipa 1milion yaani hana pesa au vipi?
 
.........Mhhhhh!! Kumbe ndio huyo kazi kweli kweli.

hawa warembo bwana......
ila sio yule muhindi ni mswahili (sijui nani alikuja kabla ya miriam ila hapa simaanishi yule mhindi)
 
hawa warembo bwana......
ila sio yule muhindi ni mswahili (sijui nani alikuja kabla ya miriam ila hapa simaanishi yule mhindi)
.........Yule muhindi wala hakuwa na vitabia vya ajabu jabu.Mambo yalianzia kwa yule miss mcheza Film siku hizi kawa kama mzungu.
Huyo Lundenga na kamati yake inabidi wawe waangaalifu, wasichague miss ilimradi miss........kuna wengine bado wana akili za kitoto.Kama huyu Miriam alikuwa ndio kwanza kamaliza Form 6 huyu si mtoto tu.
 
huyu ni mtoto tu sema ndo hivi wa siku hizi wajuaji kweli....(at that age sikuwa hata na bf jamani loh...sijui ndo ushamba)
jamani I saw her last week watu wakanicheka niliposema hee huyu binti mdomo kama wa Wema.........

amejikoba maana si kujichubua loh!!! wanaharibikiwa kabisa
sasa uniambie mzazi gani mwenye busara atataka mwane akashiriki upupu huu!!
 
Back
Top Bottom