Hatimaye Jeshi la Polisi wamjibu Joyce Kiria kuhusu madai yake kwamba wamwambie alipo mume wake

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

JUN242013



Advera-Senso1.jpg



Inasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)


1a4.jpg




Joyce Kiria akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo alidai hajui mume wake yuko wapi

 
They Feel GUILTY Haijawahi kutokea kitu kama HIKI Tanganyika... Kunyanyasa Wananchi kama vile Utawala wa APARTHEID wa SOUTH AFRICA...

Nyerere alitufundisha MENGI... Inaonyesha Rais wetu wa sasa hakujua Maana ya UKOMBOZI na VIJANA wake wa Miaka 30 ambao hawajui Maana ya UKOMBOZI USAWA na UZALENDO
 
Hatuna jeshi la polisi ni uchwara tu kaongea nini sasa kama sio ujinga mtupu the KIkwete era tutayaona mengi
 
Watuhumiwa siku hizi wanakaa mikononi mwa polisi masaa mangapi??? mtuhumiwa wa poda ya Mwa-kyembe yeye ni mtakatifu mhalifu!! MAmbo haya yangekuwa yanafanyika kwa usawa kusingekuwa na walakini!!
 
Yote haya yana mwisho. Mungu hutenda haki siku zote. Udhalimu, uonevu na ukandamizaji vitakoma kwa uwezo wa Mungu!
 
Kuna kamsemo kanasema wanawake hapendani wao kwa wao...kana ukweli ndani yake.....huyu senso haonyeshi hata huruma kwa mwanamke mwenzake
 
Sasa siwa seme kama yupo mahabusu ili ajue? mbona huyu mama alieleza vizuri kabisa,badala ya kumwelewesha wanampa vitisho.
 
Huyu Advera Senso ameshanyoa zile ndevu au anakuja kutoa habari alizotumwa na mabwana zake. Anaposema kuwa ni mhalifu ilihali kesi iko mahakamani hii ndio kuingilia shauri lililoko mahamani. Tatizo alizaliwa akiwa amechanganya jinsia ndio maana ameota ndevu.
 
"....But when all hope for change is denied, because the very principles of freedom and equality is denied, and when the laws prevent peaceful expression of opinions, then the people are confronted by a clear choice,they either acquiesce in their oppression and humiliation or they commit themselves to an armed struggle''. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Msemaji wa Jeshi la polisi ni mwanamke mwenye ndevu ni katili , hana huruma kwa akina mama!!!
 
ccm kwa kutumia jeshi la polisi wameamua kupindisha haki na kuwabambikia kesi za uwongo wote wanaotetea haki na usawa.

Chadema wana ushahidi wa mkakati uliopangwa baina ya jeshi la polisi na ccm kupanga hujuma dhidi ya chadema.

Mwigulu asidhani watu wote ndani ya ccm wanafurahia uhuni anaoufanya.

Wengine tunasali kwa kufunga ili haki ikapatikane!
 
Hata huyo mtoa Taarifa mbona ajatuambia yuko wapi mtuhumiwa kwa kuto kusema ndio maana na mke wa Henry anapata wasiwasi mahali halipo na pia ni haki yake kisheria kujua mahali halipo mme wake na ni wajibu wa polisi kusema mahali halipo, ningemuelewa kama angemjibu joyce mahali alipo mmewe na si kusema majibu ya kisiasa hayo ni majibu mpauko.
 
weka taarifa ya karatasi aliyoandika mkuu,maana kwa hicho ulichoandika hapo bado ni kitendawili ni kama mipasho ya taarabu,Polisi yapaswa kusema mtuhumiwa kakamatwa kwa kosa gani na yupo wapi na taratibu za mashitaka zikoje!siamini kami hiyo ndiyo report ya polisi waliopata ajira kwa kutoa rushwa sh 800,000 kuingia ccp
 
Back
Top Bottom