HATIMAYE FISI AMKIMBIA MJOMBA WAKE SIMBA KAZI KWELI IPo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
FISI AJIFICHA KWENYE TUMBO LA TEMBO KUKIMBIA KUULIWA NA SIMBA


simba+6.jpg



Na Stratton Hatfield.
Katika kujiokoa kwenye hatari yeyote ile si tu watu ambao wanaweza kupata wazo la ajabu la kutenda ilimradi tu kuepukana na mauti, fisi mmoja aliyekuwa katika lishe yake alijikuta katika wakati mgumu baada ya kulazimika kujificha kwenye tumbo la mzogo wa tembo ili kumkwepa simba dume aliyemvamia ghafla.



Fisi huyo aliyaona mauti yaleeeeee, lakini aliona ni heri kukaa ndani ya tumbo la tembo kulikoni kuliwa na simba. picha zifuatazo zinaonyesha namna fisi huyo alivyojificha na baadae kufanikiwa kukimbia baada ya kupata upenyo.
Tukio hilo halijatokea mbali bali ni kule Masai Mara, pata uhondo huo.
simba+4.jpg




simba+5.jpg

simba+2.jpg


simba+7.jpg

simba+3.jpg

<ins style="background-color: transparent; border: none; display: inline-table; height: 280px; margin: 0px; padding: 0px; position: relative; visibility: visible; width: 336px;"></ins>
 
Back
Top Bottom