Hatimaye Fao la Kujitoa Limeruhusiwa.

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,481
4,275
Habari nilizozipata punde. Fao la kujitoa limeruhusiwa na serikali na kauli itatolewa na serikali ktk kikao cha bunge kinachoanza leo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umekurupuka usingizini? Wabunge wenyewe hawajui watajadili nini we unakuja na stori za vibanda vya kahawa
 
Kweli mkuu umekurupuka, ile si sheria tayari imeshatungwa sasa nani kakwambia hiyo sheria ndiyo inavyofutwa hivyo kirahisi rahisi, labda serikali ijipange haraka haraka ilete huyo muswada wa kurekebisha hiyo sheria na kitu ambacho sidhani, na muswada kabla haujaenda bungeni unapitia baraza la mawaziri, sina uhakika kama wataweza.
 
Msimtuhumu bure. Ni kweli serikali kupitia radio leo asubuhi imesema inawasilisha hoja rasmi bungeni kutengua uamuzi wa mkurugenzi wa SSRA.....somebody Irene
irene isacka! former stanbic bank employee! a mother of two daughters, close friend of lightness mauki, also a former stanbic employee, NOW THEY ARE TOGETHER AT SSRA, kazi hapa mjini ni kuvutana na ubestee! irene ninachoomba ni pesa zetu, period!
 
Tatizo ni kuwa " the message was sent from your blackberry" Ndiyo maana iko hivyo
 
Habari nilizozipata punde. Fao la kujitoa limeruhusiwa na serikali na kauli itatolewa na serikali ktk kikao cha bunge kinachoanza leo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nakuunga mkono kwani hata mimi kwa habari nilizo nazo ni kwamba serikali imekubali.
 
Kweli mkuu umekurupuka, ile si sheria tayari imeshatungwa sasa nani kakwambia hiyo sheria ndiyo inavyofutwa hivyo kirahisi rahisi, labda serikali ijipange haraka haraka ilete huyo muswada wa kurekebisha hiyo sheria na kitu ambacho sidhani, na muswada kabla haujaenda bungeni unapitia baraza la mawaziri, sina uhakika kama wataweza.
Naona bado analala sasa inaonekana anaota
 
Back
Top Bottom