Hao Wamarekani wanakuja October? Mbona kabla hawakuja mkawatuma wanajeshi kwenda kuchukuwa Korosho kwa nguvu bila ya kulipa?Korosho kangomba hawana chao, juxi kati wawekezaji kutoka Marekani wamekuja kuona jinsi watakavyo wekeza. Ni suala la kitambo si kirefu mambo yatakuwa bambam. Ingawaje nasikia kumekuwa na magaidi wanaotaka kutunisha misuli yao huko.
Hao Wamarekani wanakuja October? Mbona kabla hawakuja mkawatuma wanajeshi kwenda kuchukuwa Korosho kwa nguvu bila ya kulipa?
Wiki Tatu zilzopita walisema wana wanachama 13m kabla ya hapo miezi miwili iliyopita walisema wana wanachama 10m na Jana wanasema wana wanachama 20m! Wamechanganyikiwa hawajui Hata wanaropoka nini!Aminia kamanda
Mnajidanganya Sana, Kwan wabeba mizigo wanafika 500 hapo bandarini? Fuckin shit mtashinda mitandaoni tu kusini kijan
Hahaha😂Mtoa mada kaandika kwa ustaarbu tu, sasa ukikataliwa ndio utukane? Nyie CCM mnapenda kutawala na mitusi
Duuh.. mataga wamepatikana mwaka huu.
Nyumbani kwangu Arusha na kaskazini kwa ujumla hawana chao ccm, option iliyobaki ni bao la mkono tu ambalo nalo lina mashaka kwani hata polisi na vidume jeshi la wananchi wameanzisha mgomo wa chini chini wananung'unika, ni cheche moja tu ya moto italipua gesi tarehe 28 October wakijaribu kulinajisi sanduku la kura! Ama karibuni au wakipona sana ICC!Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nyumbani kwangu Arusha na kaskazini kwa ujumla hawana chao ccm, option iliyobaki ni bao la mkono tu ambalo nalo lina mashaka kwani hata polisi na vidume jeshi la wananchi wameanzisha mgomo wa chini chini wananung'unika, ni cheche moja tu ya moto italipua gesi tarehe 28 October wakijaribu kulinajisi sanduku la kura! Ama karibuni au wakipona sana ICC!
Kusini ya wapi unayoisema wewe?! Labda Ruvuma minus Tunduru lakini sio Lindi na Mtwara!!CCM inakubalika sana huko kusini acha kupotosha.
October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Lindi hapo hamna hata jimbo moja mtaambulia..Kusini ya wapi unayoisema wewe?! Labda Ruvuma minus Tunduru lakini sio Lindi na Mtwara!!
Mkoa wa Lindi una majimbo (8) kama ifuatavyo;Lindi hapo hamna hata jimbo moja mtaambulia..
October 28th wembe upo pale pale ni USHINDI WA KISHINDO KWA JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ungeanza kujiuliza ni kwanini Jiwe kamtuma Mkwele kwenda Lindi! Na kwa bahati mbaya sana anasahau huyo huyo Mkwele mwaka 2010 alimpeleka kijana wake Jimbo la Mchinga, jamaa akajisahau wakati aliwekwa tu, na ilipofika 2015 akapigwa chini!!Lindi hapo hamna hata jimbo moja mtaambulia..
October 28th wembe upo pale pale ni USHINDI WA KISHINDO KWA JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ccm kusini wahesabu maumivu makaliUngeanza kujiuliza ni kwanini Jiwe kamtuma Mkwele kwenda Lindi! Na kwa bahati mbaya sana anasahau huyo huyo Mkwele mwaka 2010 alimpeleka kijana wake Jimbo la Mchinga, jamaa akajisahau wakati aliwekwa tu, na ilipofika 2015 akapigwa chini!!
Mnajidanganya Sana, Kwan wabeba mizigo wanafika 500 hapo bandarini? Fuckin shit mtashinda mitandaoni tu kusini kijan