Salaam nyingi ziwafikie wanajimii wote:wave:,
Rafiki yangu alipendekeza nijiunge na kwa kuangalia baadhi ya mazungumzo nimeona ni jambo jema kufanya hivyo. Kwa kweli Tanzania tunahitaji kuwa vitu kama hivi vinavyoendeshwa na wazawa na sio kupendelea tu vya kutoka nje. Naungo mkono juhudi za wasimamizi wa JF:clap2:.
Wasalaam,
G