Hati fungani za kijani kutoka CRDB

political Engineer 2

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
291
705
Jana wakati naangalia Taarifa ya habari nimeona CRDB Bank wamekuja na Huduma ya CRDB GREEN BOND.

Hii inaweza kuwa Fursa mpya Kwa wenye pesa iliyokaa tu bila kazi.

Embu mwenye kujua zaidi atujuze ili tupeleke sehemu ya pesa tukawekeze huko.

Riba yake ni ngapi? ,Muda wa uwekezaji ni gani? N.k
 
Tafuta Majira la leo 25-08-2023 kwa udi na uvumba liwe Soft au Hardcopy
litakuwa na nondo zote
Screenshot_20230825-201005.jpg
 
Hata Mimi nimepitia sehemu nyingi sijaona riba kabisa, au wametageti kuwaba watu wenye pesa ndefu?
 
Jana wakati naangalia Taarifa ya habari nimeona CRDB Bank wamekuja na Huduma ya CRDB GREEN BOND.

Hii inaweza kuwa Fursa mpya Kwa wenye pesa iliyokaa tu bila kazi.

Embu mwenye kujua zaidi atujuze ili tupeleke sehemu ya pesa tukawekeze huko.

Riba yake ni ngapi? ,Muda wa uwekezaji ni gani? N.k
Hati fungani Moja ni kuanzia Laki 5,wanataka wapate mtaji wa bil.800 plus na watazimwaga dar na London stock exchange
 
Back
Top Bottom