Haters wa Jakaya Kikwete tambueni Ukipewa Kibali na Mungu hakuna kitakachokuzuia, JK Yuko Angola Kama Muangalizi wa Uchaguzi

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
Baada ya kutoka Kenya,JK Yuko kama Muangalizi wa jopo la watu mashuhuri kwenye uchaguzi wa Angola.

Kwa hiyo nyie haters wake tambueni kwamba Mungu ndie hupanga maisha ya watu..

Na Rais Samia bila shaka atakuwa kama JK maana huwa anapata mialiko Mingi Sana ndaninya Nchi na Nje kiasi kwamba akisema aende kila mahali atashindwa..👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220820-205214.png
    Screenshot_20220820-205214.png
    110.4 KB · Views: 4
Mkuu mbali na uchawa kwa viongozi wa CCM wakiwemo wastaafu, una kipaji (talanta/talent) chochote ulichobarikiwa na Mungu?,una njia nyingine za kujiingizia kipato zinazoweka akili yako bize mbali na kukaa unawaza ubunifu mpya wa kuanzisha thread za u chawa uchawa!??, Samahani kama maswali yatakukera.. Nimeona uchawa umekuwa TOO MUCH kutoka kwako.
 
Baada ya kutoka Kenya,JK Yuko kama Muangalizi wa jopo la watu mashuhuri kwenye uchaguzi wa Angola.

Kwa hiyo nyie haters wake tambueni kwamba Mungu ndie hupanga maisha ya watu..

Na Rais Samia bila shaka atakuwa kama JK maana huwa anapata mialiko Mingi Sana ndaninya Nchi na Nje kiasi kwamba akisema aende kila mahali atashindwa..👇
Nchi imejaa wapumbavu na upumbavu. Haters ni kina nani hao?
Tuko bize na tozo alafu huyu nguruwe anandi udaku
 
Kuna hoja nyingine jamani basi tu.
Kwani ameenda kama mtu binafsi au kitaifa?

Maana kama ni kitaifa, hata angekuwepo Mkapa angeweza kwenda.
Na ujue kwa sasa yeye JK ndiye rais mstaafu wa nchi hii ambaye bado ana nguvu. Mzee Mwinyi umri umeenda, ama sivyo amgeweza kwenda pia.
Wastaafu wa nchi mbalimbali wameenda.

Tujitahidi kujadili mambo muhimu kwa mstakabali wa taifa letu na kuepuka hoja zinazoleta ubaguzi au uchonganishi. Watanzania tuwe wamoja kutetea maslahi ya taifa.

#Tozo na kodi zaidi ya mara moja kwa kipato hichohicho ni wizi!
 
Baada ya kutoka Kenya,JK Yuko kama Muangalizi wa jopo la watu mashuhuri kwenye uchaguzi wa Angola.

Kwa hiyo nyie haters wake tambueni kwamba Mungu ndie hupanga maisha ya watu..

Na Rais Samia bila shaka atakuwa kama JK maana huwa anapata mialiko Mingi Sana ndaninya Nchi na Nje kiasi kwamba akisema aende kila mahali atashindwa..
Hii makala nadhani mleta mada kuna jambo unatakiwa kuliweka sawa.

Yesu mnazareth alitofautiana na baadhi ya watu, hata akauwawa.
Martin Luther King Jr, alitofautiana na watu pia akauwawa.
Mandela sio kwamba kila mtu alimpenda SA.

Nyerere sio kwamba kila mtu alimpenda.
Bila shaka hata Hitler au Sadam Hussein kuna watu waliowapenda pia.

Hata wewe mtoa mada sio kila mtu unampenda au mnakubaliana na anachofanya.

JK alituhadithia wakati JKN aliopoasisi mchakato wa serikali kuhamia Dodoma, baadhi ya mikoa ilipinga ikiwamo Mkoa wa Pwani.

Nataka kuamini, sio kila Mtanzania atakubaliana na JK nini anafanya au alikubaliana nae nini alifanya alipokiwa Rais; yet wengi hata ambao hawakubaliani nae wanamheshimu JK kama baba wa watoto, mume na Rais mstaafu.

Kukubaliana kutokubaliana ni ubinadamu, na sidhani kila mtu usiekubaliana nae unamchukia.

Tuishi kwa upendo kama Watanzania sio kwa kuingiza maneno kama haters.

Mwl. JKN alijenga nchi katika msingi wa udugu, na hata katika level ya familia (nuclear family) watu hutofautiana; yet ni wanafamilia.

Tuishi kwa staha na kuvumiliana pasi kuingiza maneno kama haters.
Udugu wetu ndio msingi wa Utanzania.

Kama Raila na Uhuru waliweza kuja na BBI, sisi Watanzania tuendelee kuishi maisha pasi maneno kama 'haters'; twahitaji kujenga udugu na kuvumiliana kati ya changamoto zinazoikabili jamii yetu.

By the way, JK kaalikuwa sio kwa kofia yake kama Rais Mstaafu.
Yupo kazini kidiplomasia, ni jambo jema kwake na ni jema zaidi kwa nchi kwa kofia yake kama ya Urais Mstaafu.
 
Mh Jakaya kikwete na mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan Ni viongozi wenye ushawishii mkubwa Sana kwa Sasa hapa Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania, Hawa viongozi wetu tajwa Ni Kama maji tu yaani usipoyanywa utayaoga tu, huwezi ukayakwepa, kazi wazifanyazo Dunia inaendelea kuwakubali ndio maana unaona wakipata mialiko mbalimbali kutokanaa na weledi walio nao

Najivunia kuwa Mtanzania, Najivunia kuwa na mh Mama Samia Suluhu Hassan Kama Rais wa nchi, Najisikia vyema na Fahali kuongozwa na mh Rais dkt jakaya mrisho kikwete Kama Rais mstaafu,

Tuendelee na uzalendo na Kuendelea kumuunga mkono Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan aliyedhamilia kuijenga nchi hii
 
Kwa Samia ni Afrika
 
Baada ya kutoka Kenya,JK Yuko kama Muangalizi wa jopo la watu mashuhuri kwenye uchaguzi wa Angola.

Kwa hiyo nyie haters wake tambueni kwamba Mungu ndie hupanga maisha ya watu..

Na Rais Samia bila shaka atakuwa kama JK maana huwa anapata mialiko Mingi Sana ndaninya Nchi na Nje kiasi kwamba akisema aende kila mahali atashindwa..👇

Hajaenda kwa sababu ya ubora wake, bali kwa nafasi aliyokuwa nayo kama rais wa nchi. Ingekuwa wanaoteuliwa wanaangaliwa uadilifu wao, hakuna ambaye angewaza hata jina lake. Sie ndio tunamfahamu vizuri sio hao wanaochagua kwa umaarufu.
 
Mi zinanichekesha hizo comments za haters tu......kiukweli wanazidi kubanwa tu na wanabanika kisawasawa. Eti 'siku zake zaja'; kuna binadamu atakayebaki dunia hii?!!! Hicho kifo mnachomuombea mbona hamjaanza leo na ndo kwanza madili tanazidi kumfungukia!!
 
Mh Jakaya kikwete na mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan Ni viongozi wenye ushawishii mkubwa Sana kwa Sasa hapa Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania, Hawa viongozi wetu tajwa Ni Kama maji tu yaani usipoyanywa utayaoga tu, huwezi ukayakwepa, kazi wazifanyazo Dunia inaendelea kuwakubali ndio maana unaona wakipata mialiko mbalimbali kutokanaa na weledi walio nao

Najivunia kuwa Mtanzania, Najivunia kuwa na mh Mama Samia Suluhu Hassan Kama Rais wa nchi, Najisikia vyema na Fahali kuongozwa na mh Rais dkt jakaya mrisho kikwete Kama Rais mstaafu,

Tuendelee na uzalendo na Kuendelea kumuunga mkono Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan aliyedhamilia kuijenga nchi hii

Huyo JK na mama Samia sio viongozi bora, bali wanaonekana wana afadhali maana kipimo cha ubora wa ni Magufuli. Kwa vyovyote kama kipimo ni Magufuli lazima wao waonekane wana afadhali.
 
Back
Top Bottom