Hata kama! Hapa sijipendekezi!!!!

Beso

JF-Expert Member
May 6, 2011
216
59
Nasepa kandokando bila salamu! thumb_women_drivers02.jpg
 
kama ni mkeo utasepa
na hapo kama umemkuta katika hatari na unajua hapo ni sehemu ambako kuna uwezekano wa yeye kudhurika huwezi kumwacha
Kuna mazingira kwa kweli unakutana na hatari na hapo huwezi kukimbia kutoa msaada
 
mmmh!na vitz yangu hapo nitamsaidiaje!!mi nageuza nabadili na njia!
 
cheki hapo kwenye kioo cha mlango wa nyuma kuna jamaa ana mpiga picha huyo mwanamke..! so ukijipendekeza hapo utakua wa pili..!
 
Back
Top Bottom