ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,546
Isiwe shida Taifa stars kufungwa idadi hiyo huo ndio mpira,Algeria ni timu kubwa sana yenye wachezaji wote ma pro wanaocheza ligi mbalimbali za ulaya na america la msingi kwetu ni kutafuta tunaondokaje hapa tulipo na kusonga mbele na ikibidi timu yetu sasa iangaliwe ikarabatiwe na kupewa michezo mingi ya kirafiki ya kimataifa ili kujenga uzoefu utaona pia mechi hii wachezaji wetu ni tayari ki akili walishafungwa hata kabla ya mechi na hii ilichangiwa na tension kubwa walokua nayo wachezaji wetu kiukweli ilikua mechi ngumu ambapo walitakiwa kicheza kwa utulivu na umakini mkubwa.
Rafu zisizo na akili zimetugharimu..bado wachezaji wajifunze na wajue nidhamu ni silaha nzuri ktk mchezo angalia mfano nidhamu alonayo Samatta ni kwa kiwango kile angalau....vijana wamejitahidi lakini bado kuna mapungufu ya kufanyiwa kazi hasa upande wa no 6 pia ukuta wa ulinzi nyuma kipa bartez nae leo kiasi hakua makini hasa kwa goli la kwanza,