Hassan Ngoma Clouds 360 tafuta kazi nyingine, uchambuzi umekushinda

Jamaa ana uwezo mdogo sana sana. ila anajifanya anajua mambo kumbe very low IQ man.... ndio tatizo la media zetu, wanaokota tu watu mitaani pasipo kuangalia elimu ya mchambuzi..... Ukisikiliza wachambuzi wa The Citizen Kenya au NTV utaona mgongano wa theories na different perspectives katika analysis ya jambo.
Katiba ya Kenya na ya Tanzania vinafanana?
 
Huyo jamaa IQ yake ndogo mnooo,mbaya zaidi yy mwenyewe anajiona anajua kila kitu,kila mada hata asiyo na uelewa nayo atajifanya kuweka coment yake,niliacha kuangalia siku moja alikuwa anajadili ni kwann consultant wa uwanja wa ndege analipwa hela zote zile??namnukuu,"yaani consultant tu,,mtu mjanjamjanja anapiga hela nyingi kiwango hiki........"nikagundua hana uelewa na Jambo lolote ktk dunia hii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada unadhani Hassan Ngoma ataongea nini wkt dingi yake Mzee Ngoma alizawadiwa mil. 100 na "mzee baba wa pale ikulu" kama mgunduzi wa Tanzanite".
 
Jamaa ana uwezo mdogo sana sana. ila anajifanya anajua mambo kumbe very low IQ man.... ndio tatizo la media zetu, wanaokota tu watu mitaani pasipo kuangalia elimu ya mchambuzi..... Ukisikiliza wachambuzi wa The Citizen Kenya au NTV utaona mgongano wa theories na different perspectives katika analysis ya jambo.
Ni kweli mkuu...tatizo wachambuzi wetu wanachambua kila kitu yaani hawana UBOBEZI katika nyanja husika.Unakuta mtu mmoja anachambua mitindo,burudani,siasa hadi filamu inshort Wachambuzi wetu wanajua kila kitu but sio kwa kina na weledi ila ni ujuaji ujuaji,blah blah na ujanja ujanja wa kuzani wanaomsikiliza au mtazama wote ni mafala.
 
Nilikua napenda sana kuangalia hicho kipindi ila huyo Jamaa anilifanya nikaacha kabisa!

Tangu aingie hapo kipindi kimekosa mvuto kabisa
 
Mimi Huyo sina shida naye, bali nasema hafai kwa sababu kituo hicho kinaangaliwa na vijana wengi ambao wanategemea kuelewa baada ya kuhabarishwa.
Sasa mtu anayebeza kuonewa kwa Bob Wine kule Uganda au mwenendo Wa kesi za wapinzani katika mahakama zetu huyo ni wakumu entertain?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndiyo maoni yake na yanatakiwa kuheshimiwa. Si wote wanaoona Bob Wine kuwa anaonewa ukumbuke. Hivyo inatakiwa kuwa na pande mbili zinazopinga na zinazounga mkono ili kila upande ujenge hoja zake. Hiyo ndiyo demokrasia baba!!!!
 
Back
Top Bottom