Haruna Niyonzima

Achraf Hakimi

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
875
1,779
KIUNGO HARUNA NIYONZIMA 'FABREGAS' AMEJIUNGA NA YANGA KWA MKATABA WA MIAKA 2 AKITOKEA KLABU YA APR YA NCHINI RWANDA.
.

HARUNA NIYONZIMA AKIKABIDHIWA JEZI NAMBA 8 NA MJUMBE WA KAMATI YA MASHINDANO NA USAJILI WA YANGA ABDALLAH BIN KLEYB.





HARUNA NIYONZIMA AKIMWAGA WINO KUJIUNGA RASMI NA KLABU YA YANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO WA LIGI.
 
Kila mwaka usajili unafanyika kwa mbwembwe lakini hakuna la maana linalofanyika!
 
Tusubiri tuone fitna zitakavyoanza uwanjani hasa kutopewa pasi wasionekane kabisa.....aulize wenzake hapo bado misumari mpira wa tanzania ni balaa sana
 
Jana kachezea APR......................sasa sijui ni mchezaji wa Ndala au?

Mkataba wa Haruna Niyonzima na APR unaisha mwezi Septemba 2011 baada ya hapo atakuwa huru kuichezea Yanga kwa maana hiyo ataweza kuanza kuichezea Yanga Mwezi Januari 2011 mara baada ya kumalizika kwa dirisha dogo la usajili la TFF,hapo atapata fursa ya kuichezea Yanga katika VPL pamoja na CL ya CAF..........
 
Dah! Hii kamati ya usajili ya akina Abdallah Bin Kleb, Seif Magari, nk ilikuwa ni hatari sana enzi hizo!! Yaani ilikuwa haikosei!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom