GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 5,191
- 7,058
Naamini ulisemalo kwa asilimia tisini!The guy is very humble niliongea naye ,kabarikiwa Sana na najifunza mambo mengi kupitia yeye huyu ni hadhina na sasa tunu.
Unaweza kumshawishi aandike vitabu?