Maxshimba hiyo sherehe inahusu nini?.....
I do celebrate thanksgiving. I don't go by feelings.
Ndiyo hiyo IGNORANCE.
Thanks.
You go by feelings and I will never and never will I be controlled by feelings or hollywood womens like you. Thats why Jolie took someones husband because of using feelings.
I do celebrate thanksgiving.
I its shame and sad, watu wanaamka na chuki kali ndani yao! Sijuwi walilalaje hawa, kama chuki ndani yao kali namna hii asubuhi asubuhi.
Oooops, let ME go and eat----- TURKEY.
HAPPY THANKSGIVING
Ni siku ya kutoa chochcote ulichonacho bila kunyimana
Thanks.
You go by feelings and I will never and never will I be controlled by feelings or hollywood womens like you. Thats why Jolie took someones husband because of using feelings.
I do celebrate thanksgiving.
I its shame and sad, watu wanaamka na chuki kali ndani yao! Sijuwi walilalaje hawa, kama chuki ndani yao kali namna hii asubuhi asubuhi.
Oooops, let ME go and eat----- TURKEY.
HAPPY THANKSGIVING
umarekani huo mpenzi. kuna vituko huko ibada za kipagani nyingi mno km hii, halloween even santa clause. upuuzi mtupu
I gave you an example of celebrat;
Melbourne, Nov 25 (ANI): Hollywood star Angelina Jolie is reportedly against celebrating Thanksgiving because she feels it's a 'story of murder'.
"Jolie hates this holiday.
Hii sherehe ina maana nje ya Marekani? Yaani kwao labda Novemba ni wakati wa mavuno (wapi?) na kuandaa kipindi cha witer kwa hiyo walianzisha sherehe hii ya kushukuru kwa vyakula vilivyopatikana katika kipindi cha joto kwao maana baadaye winter hakuna chakula kutoka mashambani.
Lakini nchi nyingine Ulaya wana sherehe na ibada za kushukuru mwezi wa Oktoba, maana iko kaskazini zaidi.
Afrika kuna uwingi wa hali ya hewa kwa hiyo hakuna wakati wa pamoja kwa shukrani za aina hii.
Kwa hiyo wale walioko Marekani washeherekee tu (au waiache wakikumbuka historia ya siku ile).
Ila tu nje ya Marekani - ina maana je?
Mimi kama rafiki wa Wamarekani wa Asili (Native Americans) ambao waliporwa ardhi na uhai wao ili kuwe na Thankgiving nasema Unhappy Thanksgiving!