............ hii nayo ni siku kuu ?, hebu tujuzeni mnasheherekea nini !? Wagalatia kwa UZUSHI hamjambo !!How wonderful it is to be able to make a Thanksgiving list once again.
Happy Thanksgiving to ALL.
How wonderful it is to be able to make a Thanksgiving list once again.
Happy Thanksgiving to ALL.
...... Kwani hiyo ni birthday Martin Luther king ? Maana inasheherekewa huko kwa obama tu!Kila kitu udini.
huku dunia ya nne haipo ! Nimetafuta kwenye vitabu siioni ! Alianzisha Bush nini ? Mbona na Camerun anasema haijui ?Noana bado upo dunia ya nne
kwani mnasheherekea nini nyie wa dunia ya kwanza !? Hiyo siku kuu huku mnaileta lini ?If Bush is still a President to you, then you must be on the Fifth World "Dunia ya Tano"