Happy Nyerere day..!

Mtemakuni

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
258
22
Watanzania leo tunaikumbuka cku ambayo baba wa taifa Mwl J.K Nyerere alitutoka.
Kiukweli kabisa mwalima alifanya mambo mengi mazuri na machache mabaya kama binadamu.
Jukumu letu kama watanzania wazalendo ni kuienzi hii siku kwa kutafakari na kuyafanyia kazi yale yote mema aliyotufanyia mwalimu.
RIP Mwalimu, mungu ibariki Tanzania
 
Dakika hii nasikiliza moja ya hotuba zake, anasema..."Huwezi kununua HAKI"......!
Lakini JK na wazembe wenzie wameweka kila kitu UPSIDE DOWN, na Inside -out!
 
Mtemakuni,ahsante sana kwa thread hii,binafsi napendekeza tuenzi siku ya leo katika thread hii kwa kutoa nukuu za Mwalimu(RIP),nami nafungua kwa nukuu hii:

Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne:
1.WATU
2.ARDHI
3.SIASA SAFI
4.UONGOZI BORA
 
Back
Top Bottom