Nimekukubali mkuu kwa tafsiri picha yako makiniNi pic nzuri,
ukiiangalia harakaharaka unaweza kuwa wote wapo happy ,lakin ukitulia vizuri kuingalia unagundua haya,
Mume ni mwenye furaha 100% kutoka moyoni mwake hata macho ,smile,inaonesha yupo happy na hiyo smile hakuiandaa kwa ajili ya hiyo picha tu bali HE'S REAL HAPPY.
Mke ukimwangalia hasa machoni mwake hayupo happy kiivyo ,ila anaandaa smile kwa ajili ya kuonekana MZURI kwenye pic kama anasmile.
Mtoto yupo happy kwa 100% .
Kama nijuavyo na niaminivyo kuwa macho yanaongea, basi kwenye picha hii macho ya IRENE UWOYA YAMEONGEA BILA KIFICHO.
MUNGU AWAPE MAHITAJI YA MIOYO YENU, AWAJAZE FURAHA ,MAFANIKIO ZAIDI KATIKA FAMILIA YENU.
Nimekukubali mkuu kwa tafsiri picha yako makini
Ni pic nzuri,

kwenye red mhhhhh.. so yo know somthing......... teh teh
he mwaya mke wa mtu huogopi picha zake shostwe need Irene's more pics please