Happy bithday kabakabana

Lol... Asante mpendwa, hizo pipi nifungie hapo kwenye hilo gazeti, tazichukua mda wa kuondoka ukifika.



mie ngoja nimalizie kukusanya hizi chupa, si unaona wazamiaji wameanza kuzamia? Wataiba afu kesho tupate hasara ya kulipa chupa.....

hahaha na kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom