Happy birthday Wema Sepetu

Hiviiii mbona mmemganda chibu jamani...mbona wema alitoka na kina blue ...t.I.d..jumbe etc...why chibu?? Na je chibu angefulia mngeendeleza kujipendekeza...???..
Wajua team wema walipoanzisha operation ya bring back our wema na wema akamwaga diamond wakafurahi kweli.
Sasa hawakutegemea move aliyofanya diamond akachukua zari mtu ambaye hawakuwaza kabisa na alimchukua mtu ambaye anaonekana yuko juu ya madam wema basi ikawa kama wamekomeshwa wakaanza bifu.
Ikabidi ajiweke kwa mzee wa big brother lakini idris bado ustar na hadhi yake halingani na diamond so bado wanaona kapigwa bao.
Team wema wamekosa mtu ambaye atamfunika diamond sasa wakaanza kampeni ya kumtukana zari na kuzusha story mara wema kalala madale mara diamond kalala kwa wema yani ni ka operation flan ka take back our wema.
Wataacha msumbua diamond iwapo wema atampata mbwana samantha au mtu star zaid ya diamond au muheshimiwa ka wa k.lyn
 
Hivi kwa matusi kama haya......

Team zari wana akili kweli????

Huyo diamond ataendelwa kuwa na mapenzi na zari ilhali mama yake anatukanwa hivi????

Hamwajui wanaume nyie...endeleeji kumponza huyo zarina wenu
1475090705057.png
 
Wajua team wema walipoanzisha operation ya bring back our wema na wema akamwaga diamond wakafurahi kweli.
Sasa hawakutegemea move aliyofanya diamond akachukua zari mtu ambaye hawakuwaza kabisa na alimchukua mtu ambaye anaonekana yuko juu ya madam wema basi ikawa kama wamekomeshwa wakaanza bifu.
Ikabidi ajiweke kwa mzee wa big brother lakini idris bado ustar na hadhi yake halingani na diamond so bado wanaona kapigwa bao.
Team wema wamekosa mtu ambaye atamfunika diamond sasa wakaanza kampeni ya kumtukana zari na kuzusha story mara wema kalala madale mara diamond kalala kwa wema yani ni ka operation flan ka take back our wema.
Wataacha msumbua diamond iwapo wema atampata mbwana samantha au mtu star zaid ya diamond au muheshimiwa ka wa k.lyn
Hivi zari yupo juu????
 
Hivi kwa matusi kama haya......

Team zari wana akili kweli????

Huyo diamond ataendelwa kuwa na mapenzi na zari ilhali mama yake anatukanwa hivi????

Hamwajui wanaume nyie...endeleeji kumponza huyo zarina wenuView attachment 408620
Wanamponza Zari. Wanaume wa bongo ukitaka kukosana nao tu, watukanie mama zao au gombana na mama zao. Hata kama mama yake ana makosa, mwanaume hakubali kama mama yake anakosea. Na akikubali, atakwambia sasa huyu unamuona mtu mzima, si ungenyamaza tu kwani lazima umjibu. Uso kaukunja, anafungua mlango anaenda kwenye viti virefu, wala hakusemeshi tena.
 
Halaf kingine Wema nimemuona kama hayupo sawa hiviiii maana kuna tetesiii yale mambo ya unga yameanza kumpa madhara ,watu wa karibu yake anzeni kumsaidia kabla hajawa kama rayc (naota tu mimi)
Happy birthday Wema sepetu toto lenye lips mashaallah
Kwani ana Undugu na Bakhresa hadi ale Unga??:rolleyes::rolleyes::rolleyes: Nmeuliza Tuu.
 
Hivi kwa matusi kama haya......

Team zari wana akili kweli????

Huyo diamond ataendelwa kuwa na mapenzi na zari ilhali mama yake anatukanwa hivi????

Hamwajui wanaume nyie...endeleeji kumponza huyo zarina wenuView attachment 408620
Kayataka mwenyewe angeuficha unafiki wake na roho mbaya yake nani angejishulisha nae mwanamke hana staha hyu afu mondi c mtu wa kusikiliza timu ushuzi ndo nnachompendea
 
Wanaomchukia zari wamefurahi kinoma kwa hichi kinachoendela zari is strong jamani hongera zake as long napendwa na muhusika the rest watajiju
 
Wajua team wema walipoanzisha operation ya bring back our wema na wema akamwaga diamond wakafurahi kweli.
Sasa hawakutegemea move aliyofanya diamond akachukua zari mtu ambaye hawakuwaza kabisa na alimchukua mtu ambaye anaonekana yuko juu ya madam wema basi ikawa kama wamekomeshwa wakaanza bifu.
Ikabidi ajiweke kwa mzee wa big brother lakini idris bado ustar na hadhi yake halingani na diamond so bado wanaona kapigwa bao.
Team wema wamekosa mtu ambaye atamfunika diamond sasa wakaanza kampeni ya kumtukana zari na kuzusha story mara wema kalala madale mara diamond kalala kwa wema yani ni ka operation flan ka take back our wema.
Wataacha msumbua diamond iwapo wema atampata mbwana samantha au mtu star zaid ya diamond au muheshimiwa ka wa k.lyn
Mtoto wa Singida pensioners hawawezi, anapenda damu changa labda Raymond wa WCB.
 
Are you a virgin?
Its not about virginity-its about a so called role model in society with zero morals,a totally modern woman in society who cannot stand on her own but has to live on the crumbs of married man,a woman who changes man every other day like you change your pants-a woman who is so foolish and just cant grab an opportunity-A woman who no sane mom would like for a role model
 
Familia z kiswahili ni shida huyo mama ndio anamvurugia cjui anataka nini hapo.wanawake wa uswahilini akili huwa zinawaza kupika vitumbua n maandazi.mwanae n mtu mzima ila mama kufanya ujinga huo ni makusudi mazima
 
Hiviiii mbona mmemganda chibu jamani...mbona wema alitoka na kina blue ...t.I.d..jumbe etc...why chibu?? Na je chibu angefulia mngeendeleza kujipendekeza...???..
Hao hawakua n mshiko wala nyumba hiyo team lazma imemaliza waganga wote tz kumuwangia kijana arudi kwa wema
 
Wanaomchukia zari wamefurahi kinoma kwa hichi kinachoendela zari is strong jamani hongera zake as long napendwa na muhusika the rest watajiju
Hivi Zari hana la kulaumiwa kwalo katika hili!! Nawaza tu. Maana naona mnamtetea sana.
 
Its not about virginity-its about a so called role model in society with zero morals,a totally modern woman in society who cannot stand on her own but has to live on the crumbs of married man,a woman who changes man every other day like you change your pants-a woman who is so foolish and just cant grab an opportunity-A woman who no sane mom would like for a role model
I rarely change my panties. Anyway just because you, you are not a celeb but am sure u also change men as if there is no tomorrow. And bse I know u can't admit, so just leave her, that's her life style mum.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom