Happy Birthday Rev Masa.....

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,814
59,394
Kesho tarehe 14/2, siku ya wapendanao ndio siku aliyozaliwa baba mchungaji!!

Kama mama mchungaji sina budi kuwashirikisha ili wale wote wanaompenda wapate kusherehekea nae, yani hata kama umekosa kabisa kidate cha
VALENTINE basi umepata sababu nyingine ya kusherehekea.

Baba mchungaji HAPPY BIRTHDAY!!

attachment.php


May GOD bless you with many more years to come, and along with it; a lot of LOVE to give and receive, Good health, Happiness, success and PEACE OF MIND.

Be blessed.....ALWAYS!
You are LOVED!!

 

Attachments

  • Happy20Birthday20240.gif
    Happy20Birthday20240.gif
    45.3 KB · Views: 402
Happy Birthday Mchungaji baada ya kuwaletea waumini wa kutosha kanisani kwako ningependa nikipata fungu langu la kumi kabla ya Kwaresma haijaanza ila usimpe Mama Mchungaji Lizzy anaweza azifikishe salama akasingizia amezipeleka kwenye fellowship..:eyebrows:
 
happy birthday mchungaji.
Ila chesii aliniboa, we lov u.

Mimi kama mke mpya wa ODM, naandaa dhifa hapa kwetu.
 
happy birthday mchungaji.
Ila chesii aliniboa, we lov u.

Mimi kama mke mpya wa ODM, naandaa dhifa hapa kwetu.

ndoa za jf raha hakuna cha talaka wala nini yaani ukichoka tu unabadilisha mume.kwa iyo michelle yuko peke yake na boss,sindio?
 
I love JF!
Happy birthday mchungaji!
May the almighty god give you many more years of love, uishi mpaka ufikie ile stage ya kutolewa nje asubuhi kuota jua na kurudishwa ndani jioni kuogeshwa, kula then kulala!
Amen!
 
Such a lovely date to be born! A day before "valentine".... wewe ni mtu wa upendo..
Happy blessed birthday mchungaji...
 
Happy Birthday Mchungaji.......
Happy Valentine's Mchungaji.....
Duh.....aiseee.....
 
Such a lovely date to be born! A day before "valentine".... wewe ni mtu wa upendo..
Happy blessed birthday mchungaji...

Amy sio kabla. . . Ni siku ya Vale.
Sema nimewahisha kwasababu kesho sitokua na nafasi.
 
Antique Valentine card.jpg
happy valentines day to all jf members

and

happy birthday to those who were born on this date​
 
happy birthday babaparoko, J2 kuna kabinti kanahitaji ubatizo wa maji mengi, kananisumbua sana na sina mamlaka ya kukapatia ubatizo, nitam'direct kwako kwa ruhusa ya mamaparoko lizzy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom