Happy birthday pakajimmy

Hongera PJ, Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na afya njema. Ubarikiwe sana

Annina
 
:confused2:... :nono:.... ukionyesha ushirikiano wa kutosha unaweza kupewa konsidaresheni...
Ntaanza ushirikiano kwa kukusaidia kuwachunga kondoo wako.... Hasa wale walionona mikia.
 
Ntaanza ushirikiano kwa kukusaidia kuwachunga kondoo wako.... Hasa wale walionona mikia.

He he heee... haya bwana... cha muhimu uhakikishe tu usalama wao, wasijeliwa na mbwa mwitu...
 
He he heee... haya bwana... cha muhimu uhakikishe tu usalama wao, wasijeliwa na mbwa mwitu...
Mbwa mwitu hawana mamlaka mbele ya mchungaji msaidizi wa askofu. Watashindwa na kulegea magoti, meno na makalio yao....
 
Huh...this's the best of the days to me!...maana parents wangu walinisimulia kuwa ndo niliyozaliwa!...Lakini bado nauliza swali...How to count my age?..is it from the day i was conceived, or the day i was born?I might be older than iam said to be!!
so when u was conceived PK....
 
Mbwa mwitu hawana mamlaka mbele ya mchungaji msaidizi wa askofu. Watashindwa na kulegea magoti, meno na makalio yao....

:pray2:... Roho mtakatifu anatenda kazi...:amen: (bado ya kuachisha watu kudumisha mila)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom