Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

huyo ronaldinho wako hajafunga kama messi
hajachukua tuzo kama messi
hajaassist kama messi
hajavunja rekodi kama messi
hajaweka rekodi kama Messi

Messi nuksi sana tena sana


na hajabeba World Cup kama Nesi...au?
 
Rekodi(VITENDO)zinaongea sana kuliko mbwembwe(MANENO)... MESSI NITAMKUMBUKA KAMA MCHEZAJI HATARI ZAIDI KTK ZAMA ZANGU, NITAMWADITHIA NA MWANANGU PENGINE ATAKUA MESSI WA PILI


Rekodi bila World Cup ni sawa na suti bila koti, haya kajipange kisha uje tena
 
Saint Gaucho! Hafananishwi huyu. Nabii wa soka, labda kuna siku atashushwa nabii mwingine kama Gaucho
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
taarifa zipo nyingi...
1. taarifa za wapenzi kunasiana pale ktk hospital ya temeke...
2. taarifa za mganga anaesafirisha wabeba madawa ya kulevya bila kuonekana airport...
3. taarifa za mashambulizi ya panya road...

ila yoote ni 9, kumi huo wako ni mtazamo tu kama jina lako.

karibu tena

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha yote 9, Kumi ni mtazamo kama nini?
 
Rekodi(VITENDO)zinaongea sana kuliko mbwembwe(MANENO)... MESSI NITAMKUMBUKA KAMA MCHEZAJI HATARI ZAIDI KTK ZAMA ZANGU, NITAMWADITHIA NA MWANANGU PENGINE ATAKUA MESSI WA PILI

Mkuu, hata mimi nitakuja kusimulia zama za Messi alikuwaje!!!!
 
Acha kufananisha vijana wa vijiweni na vyeo vya heshima kama hivyo. Kama wewe huna dini usitake kugusa imani za wenzako kwa mizaha kama hii.
Lugha ziko nyingi za kuwasilisha unachokiamini ni kizuri lakini sio kwa staili hii.

Dini au imani ipi na ya nani imeguswa hapo? Mbona unataka kuanzisha ugomvi usiokuwepo?
If you can't stand the heat, stay out of the kitchen.
Happy Birthday St.Gaucho, moja ya vipaji adimu sana kuwahi kutokea Duniani
 
barca wakaanza kupata vikombe na makombe.
barca wakafanikiwa hata kupata ushindi nyumbani kwa hasimu wao Real Madrid, na moja kati ya mechi ya kukumbukwa ni ile ambayo Dinho alitupia kamba mbili na kupelekea washabiki nguli wa los blancos kuinuka kwenye viti vyao na kuanza kumpigia makofi...kitendo hiki cha kishujaa kiliwahi kumtokea pia Diego Maradona baada ya kuwashikisha adabu Madrid hapo Bernabeu.

no one else

Mfalme kutoka Turin Alesandro Del Pierro alipigiwa si makofi tu hapo Bernabeu baada ya kuwafunza mpira Los Blancos bali alisujudiwa na madristas kitambo kabla ya Gaucho
 
rekodi bila World Cup ni sawa na suti bila koti. Haya kajipange kisha uje tena

Khe khe khe khe! Nenda uholanzi utakutana na wanaume ambao hawajachukua wc, je si bora?

Wakati Julian Draxler kachukua kombe bila kucheza mechi hata moja khe khe khee

Kwanza Ronaldinho alibebwa kama Julian kama hujui hilo.
 
Kinachosikitisha ni kwamba dinho hakuwa kwenye peak yake kwa zaidi ya miaka 4 ila ni ukweli usiopingika kuwa Dinho ni fundi mpira bora kabisa katika karne hii ya 21 tukiachana na masuala ya rekodi sijui mataji, magoli na mengineyo.

Messi atabaki kwnye nafasi yake kama mchezaji hatari zaidi karne hii ila hakuwa na skills na burudani kama za Dinho
 
khe khe khe khe

nenda uholanzi utakutana na wanaume ambao hawajachukua wc je si bora ?

wakati Julian Draxler kachukua kombe bila kucheza mechi hata moja khe khe khee

Kwanza ronaldinho alibebwa kama julian kama hujui hilo

Unafahamu nani aliitoa England kwnye world cup 2002??? Unafahamu ile free kickbilipigwa na nani??
 
Unafahamu nani aliitoa England kwnye world cup 2002??? Unafahamu ile free kickbilipigwa na nani??

huyo ronaldinho kaitwa mwishoni kipindi kile ronaldo yupo form zake humtaji ronaldinho watu wananyoa kama ronaldo tu
Messi hajawahi kuchukua kombe la dunia ila kawa mchezaji bora wa mashindano
Huyu Messi kumuangalia ni raha
Kama barcelona wanacheza nabadilisha ratiba zangu zote
 
Kinachosikitisha ni kwamba dinho hakuwa kwenye peak yake kwa zaidi ya miaka 4 ... Ila ni ukweli usiopingika kuwa Dinho ni fundi mpira bora kabisa katika karne hii ya 21 tukiachana na masuala ya rekodi sijui mataji , magoli na mengineyo...

Messi atabaki kwnye nafasi yake kama mchezaji hatari zaidi karne hii ila hakuwa na skills na burudani kama za dinho

kaangalie game ya man city na fcb halafu njoo hapa uniambie Messi hana skills gani
 
Mkuuu Hakika nakubaliana nawe kuwa Gaucho alikuwa wa kipeke, na sa hivi hawa watu wawili Mess na Ronaldo wanakuzwa sana kutokana na ukweli kuwa kwa sasa hakuna watu wengi wenye vipaji vya kutisha na ndio maana naamini wataendelea kukaa katika vinywa vya watu kwa mwaka ujao tena.

Binafsi Sitaki kuamini mtu kucheza zama moja na watu kama Zidane, Ronaldinho, Del Piero, Rivaldo Ronaldo de Lima na wengineo wengi tu halafu katika kipindi cha miaka takribani sita au saba unawasikia watu wawili tu na mmoja eti anachukua tuzo mara nne.

Yote kwa yote Ronaldinho Gaucho ni wa kipekee.
 
Hajawahi na haitakuja kutokea kama gaucho dunia hii
Huyu mtu mm sijawahi kumsikia kuwa haitakaa itokee? Ana sifa zipi chenga zipi alizowahi zitoa, magoli yapi kama ya:
  • Maradona
  • Dos Nascumento
  • Garincha
  • Eusabio
 
khe khe khe khe

nenda uholanzi utakutana na wanaume ambao hawajachukua wc je si bora ?

wakati Julian Draxler kachukua kombe bila kucheza mechi hata moja khe khe khee

Kwanza ronaldinho alibebwa kama julian kama hujui hilo


Alibebwa wapi? Weka mambo wazi yakhe
 
huyo ronaldinho kaitwa mwishoni kipindi kile ronaldo yupo form zake humtaji ronaldinho watu wananyoa kama ronaldo tu
Messi hajawahi kuchukua kombe la dunia ila kawa mchezaji bora wa mashindano
Huyu Messi kumuangalia ni raha
Kama barcelona wanacheza nabadilisha ratiba zangu zote


Nesi mwenyewe anakiri kuwa angetamani siku 1 awe na uwezo kama wa Dinho, hii inamaanisha mpaka sasa hajafikia hata chembe ya uwezo wa mbarikiwa.
 
Back
Top Bottom