Happy birthday mheshimiwa Zitto Kabwe!

Pamoja na yote Zitto tunakutakia happy birthday
Elimu uliyopata umeitumia kwa manufaa ya wengi, sio kama wanaoifungia sandukuni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sikuoni kwenye harakati za mapinduzi wala siku sikia kauli yako juu ya mauwaji ya raia
so sioni haja ya kukupa hongera

ngoja nikapate kisusio
 
Kamanda Zitto uzee haupigi hodi! kumbuka "enendeni mkazaane na kuijaza dunia"
 
happy-birthday-brother.gif
 
Back
Top Bottom