bintimacho
Member
- Apr 25, 2008
- 41
- 1
Bado una safari ndefu mheshimiwa!
explain please
Bado una safari ndefu mheshimiwa!
Naona watu wanaoka nje ya thread sasa na madongo yanakuwa mengi, nia yangu kuu kuweka hii thread hapa ilikuwa ni kujua kama aliperform au hakuperform na sababu. Najua kuna wabongo walikuwa excited waliposikia kwamba anakuja, kuna wengine tulishaanza hata kujiadai na kutamba maofisini. Sielewi ni kwanini hadi sasa hivi JD na menagement yake hawajatoa tamko kuhusu suala hili, matokeo yake wamewaacha mashabiki wao wakiendelea kujiuliza na kujijibu wenyewe. Kali niliyokutana nayo jana huko mitaani kwa mbongo mwenzangu ni kuwa alialikwa 'kupasha' vyombo moto kabla concerts yenyewe haijaanza!
Fyi, JD alikuwepo kwenye bash ya Mandela, na baada ya hapo aliperform 29.06.2008 pale Face club in reading, na anategema kuperform 04.07.2008 Club Afrique na tarehe 05.07.2008 atakuwepo pale Birmingham.
Lady Jay Dee cannot hold a note other than her signature never ending choir like chorus. Fascinating experiment, but hardly a prima donna, not even a starlet.
Ndiyo maana anakuwa anafanya vizuri sana anapofanya featuring na watu lakini akiimba mwenyewe..... yuck!
This being a group thing, angeweza kufanya vizuri.
Fyi, JD alikuwepo kwenye bash ya Mandela, na baada ya hapo aliperform 29.06.2008 pale Face club in reading, na anategema kuperform 04.07.2008 Club Afrique na tarehe 05.07.2008 atakuwepo pale Birmingham.
People,
Lets be serious for a minute.
Jay Dee angeimba wimbo gani sasa pale?
Nimeona mwanamuziki wa Kenya mmoja ndiye aliye-perform. I do not know about Lady Jaydee. But guys, give her props for getting on the plane under the auspisces of going to perform. Hamjawahi kusikia usemi wa "kupewa maksi za kuandika jina kwenye karatasi ya mitihani". Basi na sisi tumpe maksi hizo. Kumbuka we have to be patriotic
Singer Suzanna Owiyo performs at the 46664 concert in honour of Nelson Mandela in Hyde Park, London June 27, 2008. The event was organized to raise funds for Nelson Mandela's HIV/AIDS "46664" campaign, named after his prison number. Exactly 46,664 people are expected to attend the event, which also celebrates the former South African president's 90th birthday on July 18.
The show was fantastic.I liked perfomances from Eddie Grant,Loyiso,Amy Whinehouse.
Too bad JD huyu Papa Wemba kama sijakosea alishawahi kukamatwa France anafanya human trafficking.I think hii imechangia kukosa visa.