Happy Birthday Lizzy...Licious

wangapi walikwambia wanakupenda humu jamvini?

Wangapi walivumilia kukutamkia hilo?

Wangapi wanatamani wakuambie hilo?

Ni wengi,tena wengi zaidi.

Sitaki kusema mimi ni mmoja wao,ila kwa leo ngoja nianze kwa kukutakia heri ya kuzaliwa.

Happy birthday lizzy!
 
Happy Birthday Lizzy
Afu TF we unavizia tuu birthday za watu eehhh
Aisee unajua leo Ijumaa kwahiyo karibu sana kwenye sherehe usisahau kumpitia na Rejao ila mwambie marufuku kuvaa nguo za kijani...lol
 
Aisee unajua leo Ijumaa kwahiyo karibu sana kwenye sherehe usisahau kumpitia na Rejao ila mwambie marufuku kuvaa nguo za kijani...lol

Mbona Rejao kwenye kabati yake hana nguo za rangi nyingine zaidi ya kijani
Aise halafu imeangukia pazuri sana ni ijumaa aise
 
Hepi beth dei dada mpendwa!Ngoja nimalize kupalilia huu mpunga nikadandie ka helikopta ka Rocky nije fasita!
 
Woooow! Happy Birthday
May God fill your heart with happiness..
taday and always
 
bullet.gif
Two tips on your birthday:
1) Forget the past, you can't change it.
2) Forget the present, I didn't get you one.

Happy BirthDay Lizzy
 
Aisee unajua leo Ijumaa kwahiyo karibu sana kwenye sherehe usisahau kumpitia na Rejao ila mwambie marufuku kuvaa nguo za kijani...lol
Patner unakosea bana, ukimkataza Rejao kuvaa nguo za kijani atapiga ile suti yake ya manjano, lol. Manjano na kijani bora nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom