Happy Birthday Joseph Sinde Warioba kutimiza miaka 72

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Ni Waziri Mkuu mstaafu. One of the best Prime Ministers Tanzania has ever had. Hongera Joseph Sinde Warioba kutimiza miaka 72 leo. Jamii Forum ni mahala pia pa kutakiana heri na si kama baadhi wanavyopa-depict.
 
Hongera zake 72 si haba, hongera sana.
but tunahitaji katiba mpya isiyoegemea upande wowote!
 
539709_316358768458859_277447421_n.jpg
 
hongera sana mzee!

Huyu ndugu yetu amefanya kazi nzuri kwa miaka hiyo yote lakini huu mtihani wa KATIBA unaweza ukazidisha hayo yote mara mia au ukaifuta hiyo historia. Tafadhali mzee, angalia Tanzania inahitaji nini na sio waliokuteua kusimamia hiyo kazi wanataka nini
 
Back
Top Bottom