Happy Birthday Husninyo!

mbele ya husninyo tena? Ujue mimi ni mgeni humu jf na katika watu walionipokea vizuri ni huyu dada bwana yeye na ashadii.preta,lizzy na wengineo i wish her all the happiness in the world

bebii unataka kusema kina siye hatujakupokea vizuri eeh......ila akikupokea sweetie AshaDii ndo mimi ivo....lol (sasa sijui kwa ODM)
 
Kwa kuwa ni husninyo....kwa kuwa mi ni freelance....
kwa kuwa ze pope sio mtu ya shida mingi.....
Nipangiwe kazi yoyote....ili mradi iwe ngumu....

HAPPY BIRTHDAY HUSNINYO!
 
Kwa kuwa ni husninyo....kwa kuwa mi ni freelance....
kwa kuwa ze pope sio mtu ya shida mingi.....
Nipangiwe kazi yoyote....ili mradi iwe ngumu....

HAPPY BIRTHDAY HUSNINYO!

Aisee...wewe ndugu yangu utakuwa na kazi kuchanja kuni, kuna shoka lipo tayari, na kuzifikisha jikoni. of course kutakuwa na biya along the way...ndo pekee unaruhusiwa kunywa kabla ya mida yenyewe lol

(aisee hizi pande zimependeza sana muulizie Bigi)
 
I really wanted to send HUsninyo a good photo ya birthday.... ooops, doggy hapo pembeni akaamua kuslide
epic-fail-photos-romantic-picture-fail.jpg

Happy birthday
 
nooo nimesemea wadada nyie tena ndo usiseme nyie ni familia yangu sana tu nawapenda sana mjue

Ngoja nimuulizie ODM kama amepaona apo. nafurahi kitu kimoja tu kuwa sasa hivi umekuwa kakubwa kubwa lol
 
Aisee...wewe ndugu yangu utakuwa na kazi kuchanja kuni, kuna shoka lipo tayari, na kuzifikisha jikoni. of course kutakuwa na biya along the way...ndo pekee unaruhusiwa kunywa kabla ya mida yenyewe lol

(aisee hizi pande zimependeza sana muulizie Bigi)

Hommie kuchanja kuni si ngumu...lol

Umesema bigi katorokea pande nzuri?
 
Afadhali,naona na siku zako za kufa zinakalibia.una thamani gani duniani?naongea na wewe husninyo..
 
Afadhali,naona na siku zako za kufa zinakalibia.una thamani gani duniani?naongea na wewe husninyo..
 
In this special date, some years back, uliletwa hapa duniani

Na sote tunafurahia uwepo wako hapa duniani na zaidi Jamvini

Hivyo tuna sababu, nia ya dhati na tashwishi ya kuwa nawe leo

Siku hii maalumu kusheherekea siku yako ya kuzaliwa!

Happy Birthday Husninyo,,,,,,tunakutakia mafanikio na maisha mema leo na siku zijazo

View attachment 39153View attachment 39154

(sweetie kama kawaida, yupo busy na mambo ya jikoni atakuja hapa ukumbini muda sio mrefu. Babu ODM, King'asti, Sweetlady, NN, Kloro,Uporoto, Apollo, na The Boss ndo kamati mpango mzima. TF ni mlinzi leo

HBH (Happy Birthday Husninyo)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom