Happy Birthday Halisi (JF)

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
We've been together since 16th January 2007, it's a year now. You're one of the JF's Premium Members (supporters) and we do appreciate your presence on these forums. And on this 20th Jan, it's your birthday and I can't be there.

So on this very special day, I hope you'll always find happiness in whatever you may do.

On behalf of JF Administration crew, I wish you another wonderful year of happiness and joy.

Happy Birthday Halisi

vg-happy-birthday.jpg

 
Happy birthday Halisi, Mungu akusaidie uongezeke hikma na akupe neema ya kuona wana wa wana wako, na wana wa wana wa wana wako. Amin!
 
Shy nawe,
Umeambiwa useme kama ni dada au kaka?

Hongera Halisi kwa kutupa za moto moto.Hope kwa kutimiza miaka kadhaa basi utakuwa unaandaa miziki mipya.

Invisible,

Miziki yote bado iko kwenye Production?Tupe mmoja basi kwa wiki hii,Nimiss sana zile single zetu za kila wiki za mwaka jana
 
Mkuu Halisi Heshima mbele, Namuomba Mungu uendeleee kupuliza tu Mishumaa, HAPPY BIRTHDAY
 
Halisi!! Karibu kwenye utu uzima kimila kadri unavyoongeza umri na majukumu yanaongezeka!! Happy birthday
 
hongera dada yetu mpendwa halisi mungu akujaalie mengi makubwa ya kuvutia tuvutike
Dada Shy hujatulia kabisa!

Invisible,

Miziki yote bado iko kwenye Production?Tupe mmoja basi kwa wiki hii,Nimiss sana zile single zetu za kila wiki za mwaka jana
Oh yeah?

Santuri zipo nyingi kitambo. Zipo tatu ambazo ziko tayari. Lakini kama unakumbuka niliwambia najipa likizo baada ya kuambiwa na wajumbe kuwa wino wa printers zao umeanza kuisha kwani madude yalionekana kuwa mengi.

Nikaamua kujipa likizo ya miezi mitatu hivi...

Coming soon mkulu
 
Mukulu Halisi, ole wako nisihudhurie birthday party yako-I mean kwa kukosa mwaliko. Hongera sana. naona Shy ameshaanza kujigonga kwako
 
Congratulations Halisi

Hope You're older today than yesterday but younger than tomorrow

Wishing you all the best for your Birthday.

D
 
Happy Birthday Mkuu. May you live to blow 101 candles.
 
Happy birthday Halisi. How old are u? With JF you are a toddler but with massive contribution to it and you are a Premium Member!!!! Congratulations to you. Nitumie a piece of cake!!!!
 
Heri ya kuzaliwa
Heri ya kuzaliwa
Heri ya kuzaliwa Halisi
Heri ya kuzaliwa kwako!

well.. umeyaona mengi mpaka sasa.. karibu kwenye klabu ya wazee sasa.
 
Mkuu Halisi, Nakutakia Kheri Katika Siku ya Kumbukumbu Yako ya Kuzaliwa!

Kunywa chupa moja ya Fanta Tropical kwa niaba yangu....nitumie copy ya bill kwa email... lol :)

SteveD.
 
Nashukuru sana kwa wote walionitakia heri. Naomba radhi kwa kutochangia jana kwani pamoja na kuwa katika siku muhimu kwangu, ilikuwa pia ni siku ya shughuli nyingi za utendaji ambazo zilinichukua hadi usiku wa manane, lakini nilijumuika nanyi kiroho huku nikiiona siku yangu ya kuzaliwa mwaka huu imeangukia katika siku muhimu kwa Waafrika na dunia nzima kwa ujumla kwa kumpata Rais wa Kwanza Barack Obama. Nilijihisi kama Birthday party yangu ilikuwa pale DC.

Nawashukuruni nyote kwa kuwa pamoja katika kipindi chote nilipojitokeza rasmi kuchangia JF pamoja na kuwa msomaji mkubwa hapo kabla. Nawaomba radhi nyote ambao niliwakwaza na kuwaudhi, yote ni katika kujenga, naamini sote tutaendelea kuwa na moyo huo huo.

Sikuwa nimejua kwamba nilijiunga siku chache kabla ya Birthday yangu ya 2007, nashukuru Invisible kwa kunikumbusha. Karibuni sana tuendelee kuwa pamoja.

Shy nakushukuru pia nawe kwa maneno yako ya kuchangamsha, nakumbuka pia ulichangamka zaidi siku ya harusi ya mwenzetu pale Landmark ulipokuwa bize kutaka kutujua tuliohudhuria ukiwa umekaa nyuma ya ukumb. Nilifurahi kukufahamu na nilikusalimu na mke wangu alikusalimu pia japo kwa mbali.
 
heri na fanaka tele katika siku yako ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema azidi kukutia nguvu na busara.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom