Elections 2010 Happy Birthday Dr. W. P Slaa

Happy Birthday raisi wetu Mmtarajiwa, Mungu akupe maisha marefu na uwe mwenye nguvu katika kipindi hiki kigumu, na Watanzania kwa ujumla tunakuahidi kutokukuangusha, zawadi zetu ni jpili.

God Bless and have everlasting life.
 
Mimi na familia yangu tunakutakia kila heri mr. Present na tumeitoa siku yetu ya J'pili kufanya kile ambacho wapenda mageuzi wanaenda kukifanya katika chumba cha kupigia kura.

Happyyyyyyyyyyyyyyyy Birthdayyyyyyyyyyyyyyyyy:yield:
 
Happy bday sir!

HAPPY BIRTHDAY 2 U MR.PRESIDENT.WE THANK GOD THAT YOU ARE THE CHILD OF THIS LAND AND A MAN OF THE PEOPLE,MAY YOU LIVE LONBER TO SEE THE FULFILLMENT OF YOUR DREAMS & DESIRES FOR THIS COUNTRY.happy birhday!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mungu azidi kukutumia kuondoa dhuruma, uonevu, ufisadi, unyonge, umaskini,na akupe nguvu kupigania maendeleo yaliyo nyonywa na wachache.

HAPPY BIRTH DAY!!
 
Mods nawaomba muondoe hii kitu hapo juu

ALiyeweka anajua maana yake nini maana ajira za kufungua chupa za bia na soda zimefanya maisha yake na dada zeke kuwa BORA ZAIDI KWA KAZI NA NGUVU ZAIDI
 
Clouds wako wap kumwandalia sherehe Rais Slaaa??? Teheee teheeeeeee!:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
zapiro_election_2008.gif
 
Back
Top Bottom